MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
na umeona matajiri hawajafanya kitu chochote na mpaka polisi alisema zoezi limeenda vizuri bila vurugu ................ukiona hivyo ujue kuna kitu kimefanyika ndo mana hawajalalamika zaidi ya mmoja alisema wangesema lini wanakuja ili waondoe vyombo vyao...............si bure lazima kuna fidia wamepewa..................
ila maskini analalamika sababu anakuwa ajapewa chake na nyumba yake inabomolewa................still sijaona haki hapo zaidi ya usanii kutuonyesha kwamba hata matajiri wanabomolewa kumbe danganya toto.
Huu ndio msimamao wa chama chako hata CCM ikifanya zuri ndio jukumu la upinzani wala haishangazi.
Tupe ushahidi kwamba wamelipwa????????????? unaweza kuficha fidia ya watu wengi kiasi hicho!!!! ni siri gani hiyo ya watu wengi hivyo???