mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,602
Sasa si limepata njia nzuri ya kufanya yake
Njia nzuri baada ya kampeni kuisha?Sasa si limepata njia nzuri ya kufanya yake
Inaonekana kuna mambo ya msingi unayafaham nyuma ya pazia kuhusu bomoa bomoa inayoendelea maeneo yale na kuhusu uhalali wake, endelea kudadavua ili tujue mbivu na mbichi kuhusu bomoa bomoaWatanzania wengi hatupendi ukweli,ndio inasikitisha sana kuona makazi ya watu yakibomolewa bila Huruma lkn yote haya yamesababishwa na wajanja wachache waliofanyiwa tathmini miaka ileee kisha wakalipwa na kwa janjajanja kwa kushirikiana na maafisa watendaji wasio waaminifu wakauza tena kwa wenzao ambao Leo wanahisi wameonewa.
Lkn pia hata waliolipwa walijisahau na kutumia pesa kwa mambo mengine wakiamini hakuna chochote kitakachofanyika.
Ifike wakati tufanya upembuzi yakinifu kabla ya kujenga eneo lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho wapi ulishaona hifadhi ya barabara ina kuwa mita 121.5 kila upande??? Hapa watu walitakiwa kulipwa fidia ila sema ndio hivyo!!Watanzania wengi hatupendi ukweli,ndio inasikitisha sana kuona makazi ya watu yakibomolewa bila Huruma lkn yote haya yamesababishwa na wajanja wachache waliofanyiwa tathmini miaka ileee kisha wakalipwa na kwa janjajanja kwa kushirikiana na maafisa watendaji wasio waaminifu wakauza tena kwa wenzao ambao Leo wanahisi wameonewa.