Bomoa bomoa imeanza Kurasini Matankini

Bomoa bomoa imeanza Kurasini Matankini

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,701
Reaction score
59,214
siku mbili baada ya mh. Tibaijuka kuongea na wakazi wa Kurasini, leo Manispaa imeingia na magreda. so kazi inaendelea
uploadfromtaptalk1376895995827.jpg .
mia
 
Sawa. Nafikiri yule mwekezaji alitaka apanuliwe bandari kavu hapo alishatoa fungu la uhakika ili kazi ianze mara moja. Ila si walipewa siku 7. kwani zimeshapita.
 
Kwani hawajalipwa? au hao ni wapangaji walikuwa wanasubiri kodi iishe?
 
Hawana huruma na wananchi waliowaweka madarakani hii serikali ya Magamba bule sana yana wanamsamini huyo m--------- anaetaka kuweka Bandari kavu katika eneo hilo.
 
mambo ya tomaso haya hawaakutaka kuondoka mpaka walione tinga tinga.
 
uploadfromtaptalk1376896968317.jpg
baadhi ya wenye nyumba wamepoteza fahamu, hawana msaada. mia
 
Hivi ule mjengo wa Tanesco pale ubungo mbona huwa hawaubomoi!!
 
Back
Top Bottom