Jamani kama haya mambo ni ya kuhusu Watanzania, walengwa ni Watanzania, wahusika ni Watanzania, ambao wote karibu tunakijua Kiswahili zaidi ya Kiingereza, kwa nini tunajitutumua na lugha za wenzetu hivi?
Kama tungekuwa tunaziweza vizuri sawa, lakini sio tu hatuziwezi, lakini tunaonyesha kitu ambacho hata wale wanaoweza kutetea kwa kusema "si lugha ya kigeni tu" watashindwa kutetea.
Kukosa umakini.
I could give some slack to the author if this was a one off, but check this.
when the country's premiere at the time, faced grand corruption allegations, and was forced to resign
Obviously the guy doesn't know the difference between "premiere" and "premier".
Hivi mtu anaandika kitu chenye kutamba kujua undani wa mambo kama hivi bila kutumia spellchecker? It's no like you have to run the thing to a copy editor or a proofreader for those who know the ins of publishing.
Mtu anaweka jina lake kwenye kitu ambacho hata hakijapata baraka za a freely available spellchecker!
Unataka nimuamini huyu kwamba anajua anachokiandika?
Mie Zitto nishamchamba sana hapa (practically nimemuita stooge wa WaNorway to say the very least), na pengine kweli anatakiwa awaachie mawaziri wapya wafanye kazi zao, lakini kama huyo critic wake anaanza kwa kujionyesha kwamba hajui hata kutumia spellchecker hata moyo wa kuendelea kusoma kwa matumaini ya kupata jipya unanitoka.
Kama mtu hajui kutumia spellchecker nitatumai vipi kwamba anaweza kuelewa tofauti ya KiloWatt na MegaWatt na anuai za majedwali ya urari na ugavi wa umeme zinaendaje na nani ni nani katika sekta mbalimbali za mazungumzo haya?
On the substance, John Mashaka, Zitto and Dr. Muhongo are all wanting. Zitto for his lackluster stance on energy issues and not being as vigilant as called for given his privilege, Prof Muhongo, well of course for working for the government in such a position while knowing full well that any honest commitment is going to be frustrated, and John Mashaka for all that plastic pomposity and green grandiosity.
Mr. Kabwe's Transparency assertion reveals nothing short of tactical political, intimidation, representation and defense of the unknown interests. I would not go as far as describing the verbal assault as a self serving personal act of vengeance. However, the premise under which Mr. Kabwe's argument is based, and his pattern of attack, points towards just that.
Ananikumbusha hadithi ya askari aliyelala chini ya nyasi akijificha na kusema "bora mimi sijasema" only to be stabbed with an arrow, kwa sababu ukishasema "bora mimi sijasema" ndo ushasema hivyo. Ukishasema "I would not go so far as describing the verbal assault as a self serving personal act of vengeance" ndo ushasema kwamba unaamini hii ni vengeance. You want to eat your cake and have it too, say that and not say that. How wishy washy and cowardice a stance!
Don't write what you would not go as far as describing, write what you would go as far as decribing Mr. Mashaka. Is this turning into some personal wrangle between team Zitto and team Muhongo? I would lack a team them then.
I could murder machete this flow to smithereens, but I hardly find the rationale to elevate it in such a fashion.