Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,035
- 153,786
Good ByeKilanga this is my last post in JF. I wish you better.
Frustrations zinajionyesha zaidi unapomuita Kiranga "Kilanga".
Wanaoondoka JF hawaagi, wanaoaga hawaondoki.
Good ByeKilanga this is my last post in JF. I wish you better.
Frustrations zinajionyesha zaidi unapomuita Kiranga "Kilanga".
Wanaoondoka JF hawaagi, wanaoaga hawaondoki.
I pitty you my Broda. You have some issues. Back to the topic,
Nadhani zitto kama kawaida yake anachojaribu kufanya ni kukisambaratisha CDM. Hana lingine zaidi ya hiyo. Kwenye mada yake, sioni kabisa na wala haiingii akilini kwake yeye kusema kwamba tanzania isitishe mikataba kwa miaka kumi, huo ni uenda wazimu
I pitty you my Broda. You have some issues. Back to the topic,
Nadhani zitto kama kawaida yake anachojaribu kufanya ni kukisambaratisha CDM. Hana lingine zaidi ya hiyo. Kwenye mada yake, sioni kabisa na wala haiingii akilini kwake yeye kusema kwamba tanzania isitishe mikataba kwa miaka kumi, huo ni uenda wazimu
kwahiyo tuuze block zote? Kwanini zilizobakia tusichimbe wenyewe?
And where did I say I was
brilliant?
What is jargon to you is commonplace meme to memento the mental
instruments with an artistic savoir faire that you can't compare, to
others.
Muhongo akiendelea kuwa waziri wa nishati, nina imani atarudisha hii machimbo mikononi mwa wazalendo
anayemwaminii zitto lazima awe na matatizo makubwa sana katika milango yake ya ufahamu! Na hili litajulikana si baada ya muda mrefu.
kitachoendelea sasa kuhusu kijana zitto kilishaonwa siku nyingi na wasiokuwa na matatizo katika milango ya fahamu!
I would never waste my valued time criticising a leader whom I do not have HIGH REGARDS TO.
Therefore by shear dint of the fact that most of us here would never hesitate off-loading scarthing attacks on certain UNBECOMING CHARACTER TRAITS IN OUR LIFE-LONG FRIEND, ZITTO ZUBERI KABWE, that simply owes to the fact that he matters a lot to us thence no slightest wayward veering would go unscrutinised thoroughly about this gentleman, Dr Mkumbo and even Dr Slaa himself.
Constructive criticism is here to stay those who matter a lot to us, and Zitto for one in this instance. I, for one, would always NOT HESITATE, today or tomorrow, to turn RED HOT on any of the political leaders that Iplace of an exceptional stature, only choosing to become FAST-RATE POLITICAL MERCHANTS of some sorts, perfectionists in DOUBLE-SPEAK, and a bull of a lion in INCONSISTENCIES, LONE-RANGING and unwarranted popularity seeking tendencies.
Naam, in a nutshell, Zitto can still be a VALID CHAQUE to cash on some days as long as he resets his new-found political passions into a public-friendlier social justice warrior with predictable steps and dependable moves both in public eye or in private.
Gentlemen, if you truely have so political love for our buddies like Kitila Mkumbo, John Mnyika, William Malecela, Zitto Kabwe, Deus Malya, Massele, Prof Muhongo Muhingo Rweyemamu, Mzee Mwanakijiji and the like, TELL THEM THE MOST CHOKING TRUTH so that only truth and truth alone remain the strong foundation of your friendship and NOT otherwise.
If Prof Muhongo is truely dedicated to let his fellow Tanzanians have a taste of the various natural resources in the country, currently mercilessly being milked by a few MAFISADI, why MUST Zitto stand on his way argueing for the interests of that UNKNOW category yet we just let this go down the bridge simply because he is our friend????????
Let the Minister to his job and if he messes around we shall equally be here and round to take him to task so mercilessly on this very score.
Anayemwamini Zitto lazima awe na matatizo makubwa sana katika milango yake ya ufahamu! Na hili litajulikana si baada ya muda mrefu.
So you want us to wait until he make blunders and then take him to task? That's pathetic!! What we are experiencing right was on the made and people around that time gave those people time ""to do their jobs for the benefit of the people"" You just do not know what Prof Muhongo did at Geita quite recently when he supposedly visited partisan miners in Nyarugusu, ask him!
kuna mods noma muda huu wamepita na thread yangu fasta kam kipanga na kifaranga. Ni thread inatotaka watu wajadili option ya JK kumtumia zito na wenzake ktk unholy trinity(makamba J, Jussa, na ZZK), kuivunja CDM na ku paste wapiga kura wake wote CCM kupitia ZZK ambaye ni kwa ajili ya kuwapa surprice E.L na Membe ili wakose wote.project ni kwamba sera ya watu wote waliozaliwa kabla ya uhuru hawatakiwi ongoza nchi.HIi ni black mailing nyingine na uchawi kw akichwa ya zitto huku JK akijitahidi kuepuka lawama ya kuwatosa watu.Wengi walishsmshtukia zitto mapema