Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

Kama ni njia ya dodoma, Kimbinyiko wana mabasi sawa na Shabiby ila huduma zao wakati wa safari ni nzuri kuliko Shabiby mkuu.Pamoja Shabiby wana jina kubwa zaidi.
yeah kweli,mkuu...sema kingne katik shabiby kuna tv kila seat,sijajua kwa kimbinyiko sijaona...ila jamaa hao wa dom wako vizur sana ase.
 
Wee jamaa avatar yako na mambo yako vinaendana aisee..Si ajabu huezi tofautisha girlfriend wako na dadako. I love your avatar though......
mkuu mbona nawe umemuweka kwa avatr mtoto wa watu kipanga alizungumza mbele ya UN.ni mdgo wako au ndie weye?
 
kweli mkuu,si unaona hadi watyu tunavutika na hayo mabus adi tunataka tuyatumie katik safar zetu....vzur si jf ni huru.
Ni kweli shabiby na Kilimanjaro bus abiria wake hawana shida wapo kila kukicha.

JF ni Huru kweli haina shida wazo la waasisi kuanzisha wakina Melo waliona mbali sana na hayo ndiyo matokeo yake positive.
 
Ni kweli shabiby na Kilimanjaro bus abiria wake hawana shida wapo kila kukicha.

JF ni Huru kweli haina shida wazo la waasisi kuanzisha wakina Melo waliona mbali sana na hayo ndiyo matokeo yake positive.
good.
 
Hatimaye nimepata picha ya bombadia na ya shabiby

BOMBA DIA


SHABIBY


TAHMEED

INSIDE
 
Naombeni ushirikiano wenu,kwani next week nimepanga niende mkoa.
Kati ya
(a) BOMBA-DIA (bombadia nimepewa ofa nipande bure)
(b)KILIMANJARO EXPRESS
(c)SHABIBY LINE

Nichague nini?
ila bombardier wakati wa landing huwaga kuna shughuli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…