DUME SURUALI
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 782
- 1,082
Zinafika muda sawa ziendako ?Shabibi line mpango mzm haina tofauti na bombadia
Acha kuidharau shabibi line.Shabibi line mpango mzm haina tofauti na bombadia
Chagua kurudi shuleNaombeni ushirikiano wenu,kwani next week nimepanga niende mkoa.
Kati ya
(a) BOMBA-DIA (bombadia nimepewa ofa nipande bure)
(b)KILIMANJARO EXPRESS
(c)SHABIBY LINE
Nichague nini?
Kapewa ofa na mwanamke.Sishangai wewe kupanda ndege au basi ila namshangaa huyo mwanaume alie kupa hiyo ofa (kama ulvyo sema umepewa ofa).
Ahsante kwa ushauri mkuuPanda kilimanjaro
Naenda Arusha mkuuMkoa gani unaenda mkuu
hahahahaha weka video mkuu tusikie makeleleBombadia sio salama, kwa jinsi zinavyopiga kelele ipo siku itakuja kuwaka moto angani.
Dhihaka imetoka wapi tena? Vyote ni vyombo vya usafiri mkuu au sababu Q400 inapita angani? Acha ushamba basii !Acha dhihaka!,..Yaan Q400 vs Bus?...