Wakuu heshima mbele
Naona kuna kitu mnamiss hapo, gesi inayoletwa Dar es Salaam sio kwa ajili ya umeme pekee! Umeme ni primary ila itatumika pia kwenye viwanda! Kuna mashine za viwandani za kisasa nyingi zinatumia gas!(LNG). Na nnadhani hata wale waCanada wa Songas wanfanya biashara hito tayari kuna viwanda vimeshaunganishwa kwahito tatitzo sio usafirishaji wa gesitatizo ni strategy zetu zilizojaza viwanda Dar es Salaam
.....Pamoja na hayo lakini nadhani katika mikoa itakayokuja kuwa na maendeleo makubwa ya kiviwanda ni hapo Lindi na Mtwara na hata investors wameshaliona hilo SIO kwasababu ya umeme ila kwasababu ya GESI inayotumika mojakwamoja bila kuhitaji kuibadilisha kwenda kwenye umeme!
.....Yule tajiri wa kiNigeria guru wa Cement anajenga kiwanda huko tayari
Ni kweli wazungu hawawapendi Wachina mpaka basi!, ila pia hizi kampuni za China na hii benki ya Exim, sii bure iko namna!. Nakumbuka kisa cha Nundu na Mfutakamba!, wote walikwenda na maji!.mambo yanafanywa kisiasa tuu, ilikuwa rahisi sana kujenga mtambo huko huko na kusambaza umeme. Mchina katoa mkopo wa miaka 50 na riba ndogo mno. huo mkopo unawanyima usingizi wazungu vibaya sana
Hii ni sawa
Songo Songo mpaka Dar ni zaidi ya kilomita 200 tuliruhusu wachimbie bomba la gasi badala ya kufua umeme Songo Songo na kuvuta waya mpaka dar (na kwingine). Anayetabasamu mpaka benki ni mkanada mwenye kandarasi ya kumaintain bomba na mitambo yake.
Sasa naambiwa Mnazi Bay mpaka Kinyerezi ni kilomita 550. Safari hii ni sisi wenyewe tunachimbia bomba. Gharama za bomba, uchimbaji, fidia ya linamopita, compressors za kusukuma gasi na maintanance zake na mengineyo.
Hivi vyote kweli inakuwa rahisi kuliko kuprocess gasi na kufua umeme hapo Mnazi Bay na kusambaza umeme kutokea hapo?
Je ingekuwa vibaya kusambaza viwanda na ajira mpaka huko kusini?
Nani anafaidika na hii shughuli ya kufikisha gasi Dar?
Mkuu ur concern is understood, lakini somehow uko wrong kihandisi
1. Umeme huwa hausafirishwi kwa kuunganisha nyaya tu. For such along distance lazima kunakuwa na voltage drop as such utahitaji (transformers)substations in between kwa ajili ya kustep up hiyo voltage drop. Hizo substations zitahitaji maintenance na sometimes usimamizi wa moja kwa moja. Ni gharama kama hizo zikilinganishwa na kuweka bomba ambalo ni almost maintenance free, relatively involving less skilled labor zinapelekea kuukubali mfumo wa bomba kuliko kutandaza nyaya.
2. Gas huwa haisukumwi na compressors, the same pressure inayotoka nayo huko ardhi inatumika kuisafirishia, sana sana kunakuwa na regulators mfano valves of different designs.
3. Maintenance katika kusafirisha gesi kwa mabomba is considered a low level in terms of cost na. frequency.
Hivyo basi kwa matumizi ya umeme huko huko kusini yes umemeutazalishiwa huko huko lakini kupeleka distance kama hiyo it's cheaper and ecoomical kutumia mabomba. Nchi nyinine gesi husairishwa hadi 1000 km. Pia kama walivyosema wajumbe wengine matumizi ya hiyo gesi simkuzalisha umeme tu.
Ikifika Dar es salaam nini kinafuatia?Kama itasafirishwa mikoani kama umeme nafikiri changamoto ya kihandisi uliyoisema itabaki palepale.Mkuu ur concern is understood, lakini somehow uko wrong kihandisi
1. Umeme huwa hausafirishwi kwa kuunganisha nyaya tu. For such along distance lazima kunakuwa na voltage drop as such utahitaji (transformers)substations in between kwa ajili ya kustep up hiyo voltage drop. Hizo substations zitahitaji maintenance na sometimes usimamizi wa moja kwa moja. Ni gharama kama hizo zikilinganishwa na kuweka bomba ambalo ni almost maintenance free, relatively involving less skilled labor zinapelekea kuukubali mfumo wa bomba kuliko kutandaza nyaya.
2. Gas huwa haisukumwi na compressors, the same pressure inayotoka nayo huko ardhi inatumika kuisafirishia, sana sana kunakuwa na regulators mfano valves of different designs.
3. Maintenance katika kusafirisha gesi kwa mabomba is considered a low level in terms of cost na. frequency.
Hivyo basi kwa matumizi ya umeme huko huko kusini yes umemeutazalishiwa huko huko lakini kupeleka distance kama hiyo it's cheaper and ecoomical kutumia mabomba. Nchi nyinine gesi husairishwa hadi 1000 km. Pia kama walivyosema wajumbe wengine matumizi ya hiyo gesi simkuzalisha umeme tu.
Ni kweli wazungu hawawapendi Wachina mpaka basi!, ila pia hizi kampuni za China na hii benki ya Exim, sii bure iko namna!. Nakumbuka kisa cha Nundu na Mfutakamba!, wote walikwenda na maji!.
Mambo huwa kama hivi ifuatavyo
- Kampuni ya Kichina hufanya visibility study ya mradi!
- Kampuni hiyo huandaa proposal na gharama za mradi usually very high inflated rates!,
- Kampuni hiyo hutafuta mkopo wa riba nafuu toka kutoka Exim Bank ya China!, Ili riba iwe nafuu, repayment period huwekwa ndefu from 50 years on!.
- Serikali hutakiwa kutoa "government guarantee"!.
- Kampuni hiyo ya Kichina itafanya management ya mradi kwa kipindi chote cha hiyo miaka 50 mpaka deni likishalipwa lote ndipo Tanzania tutakabidhiwa mradi, by then life span ya mabomba na mitambo itakuwa almost end of its life span!.
- Tukishakabidhiwa mradi, then there will be a need to replace mabomba na old worn out machinery, hivyo China will bail us out kwa mkopo mwingine nafuu wa 50 years nyingine!.
- Kwa vile wachimbaji wote wa gesi ni makampuni ya wazungu, ili watuibie gesi yetu, kama msafirishaji wa gesi yote ni Mchina, na endapo serikali yetu itagoma kabisa kuruhusu mitambo ya baharini, then kuna uwezekano baadhi ya makapuni wezi wa kizungu, wakasusa kuendelea kutafuta gesi!.
Wakuu heshima mbele
Naona kuna kitu mnamiss hapo, gesi inayoletwa Dar es Salaam sio kwa ajili ya umeme pekee! Umeme ni primary ila itatumika pia kwenye viwanda! Kuna mashine za viwandani za kisasa nyingi zinatumia gas!(LNG). Na nnadhani hata wale waCanada wa Songas wanfanya biashara hito tayari kuna viwanda vimeshaunganishwa kwahito tatitzo sio usafirishaji wa gesitatizo ni strategy zetu zilizojaza viwanda Dar es Salaam
.....Pamoja na hayo lakini nadhani katika mikoa itakayokuja kuwa na maendeleo makubwa ya kiviwanda ni hapo Lindi na Mtwara na hata investors wameshaliona hilo SIO kwasababu ya umeme ila kwasababu ya GESI inayotumika mojakwamoja bila kuhitaji kuibadilisha kwenda kwenye umeme!
.....Yule tajiri wa kiNigeria guru wa Cement anajenga kiwanda huko tayari
Hii ni sawa
Songo Songo mpaka Dar ni zaidi ya kilomita 200 tuliruhusu wachimbie bomba la gasi badala ya kufua umeme Songo Songo na kuvuta waya mpaka dar (na kwingine). Anayetabasamu mpaka benki ni mkanada mwenye kandarasi ya kumaintain bomba na mitambo yake.
Sasa naambiwa Mnazi Bay mpaka Kinyerezi ni kilomita 550. Safari hii ni sisi wenyewe tunachimbia bomba. Gharama za bomba, uchimbaji, fidia ya linamopita, compressors za kusukuma gasi na maintanance zake na mengineyo.
Hivi vyote kweli inakuwa rahisi kuliko kuprocess gasi na kufua umeme hapo Mnazi Bay na kusambaza umeme kutokea hapo?
Je ingekuwa vibaya kusambaza viwanda na ajira mpaka huko kusini?
Nani anafaidika na hii shughuli ya kufikisha gasi Dar?
Kama gas hiyo ni kwa ajili ya kuzalisha umeme tu ingefaa mitambo hiyo ikawekwa hukohuko inapozalishiwa ila kama ni kwa ajili ya matumizi ya viwanda na majumbani acha mradi uendelee kwani una manufaa zaidi.Hii ni sawa
Songo Songo mpaka Dar ni zaidi ya kilomita 200 – tuliruhusu wachimbie bomba la gasi badala ya kufua umeme Songo Songo na kuvuta waya mpaka dar (na kwingine). Anayetabasamu mpaka benki ni mkanada mwenye kandarasi ya kumaintain bomba na mitambo yake.