FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,069
- 40,732
Hayo mafuta ghafi hayatasafishika mwanza?Bomba linajengwa kwa mafuta ambayo hayajasafishwa kama Tazama pipelines, ukiweka bomba mpaka Mwanza kwa mafuta masafi yataibiwa njiani sijui hata kama Mwanza yatafika, kwa mazingira ya kwetu njia salama ni kusafirisha tu.
Basi refinery huko Mwanza iwe part of the whole package.., hii inawezekana kabisa.., then mafuta safi toka huko yasaidie na mikoa jirani.., af nimekumbuka.., ile refinery yetu ya hapa ni vipi.., mbona siisikii tena..?!Bomba linajengwa kwa mafuta ambayo hayajasafishwa kama Tazama pipelines, ukiweka bomba mpaka Mwanza kwa mafuta masafi yataibiwa njiani sijui hata kama Mwanza yatafika, kwa mazingira ya kwetu njia salama ni kusafirisha tu.
Nimeshtuka sana niliposikia kwamba hadi leo hii Tanzania bado inasafirisha mafuta toka bandarini Dar mpaka Mwanza kwa kutumia petroleum tankers..!! my God!!, hii ni sawa na wananchi wa Dar tuwe tunafunga safari kwenda Ruvu kuchota maji na ndoo kichwani huku tunaweza kuyasubiri huku huku yaletwe na bomba..! Inabidi tufahamu ni gharama kiasi gani inahitajika kusafirisha hayo mafuta kwa lori + gharama za uharibifu wa barabara + upotevu wa rasilimali muda + inconvenience then tufanye comparison ya cost ya kujenga bomba la mafuta.., tukishafahamu hizi data then tutaweza ku-deduce ni kwa kiasi gani wahusika wanawazimu..!!!

Hiyo project ipo, tafuta humu JF tuliungumzia sana mradi huo. Tenda ziitangazwa kama PPP na mkandarasi alipatikana lakini utekelezaji hsukuanza nadhani kulikuwa na mizengwe kwenye zabuni
Basi refinery huko Mwanza iwe part of the whole package.., hii inawezekana kabisa.., then mafuta safi toka huko yasaidie na mikoa jirani.., af nimekumbuka.., ile refinery yetu ya hapa ni vipi.., mbona siisikii tena..?!
Suala la kuagiza mafuta liko kwa wafanya biashara wa mafuta, na wanaagiza mafuta yaliyosafishwa, kimesimama hakifanyi kazi.
tumechelewa sana. tutajenga kwa pesa nyingi lakini miaka michache ijayo mafuta yataanza kuflow kutoka uganda na labda kenya na lakawa halina kazi tena.Nimeshtuka sana niliposikia kwamba hadi leo hii Tanzania bado inasafirisha mafuta toka bandarini Dar mpaka Mwanza kwa kutumia petroleum tankers..!! my God!!, hii ni sawa na wananchi wa Dar tuwe tunafunga safari kwenda Ruvu kuchota maji na ndoo kichwani huku tunaweza kuyasubiri huku huku yaletwe na bomba..! Inabidi tufahamu ni gharama kiasi gani inahitajika kusafirisha hayo mafuta kwa lori + gharama za uharibifu wa barabara + upotevu wa rasilimali muda + inconvenience then tufanye comparison ya cost ya kujenga bomba la mafuta.., tukishafahamu hizi data then tutaweza ku-deduce ni kwa kiasi gani wahusika wanawazimu..!!!
Nimeshtuka sana niliposikia kwamba hadi leo hii Tanzania bado inasafirisha mafuta toka bandarini Dar mpaka Mwanza kwa kutumia petroleum tankers..!! my God!!, hii ni sawa na wananchi wa Dar tuwe tunafunga safari kwenda Ruvu kuchota maji na ndoo kichwani huku tunaweza kuyasubiri huku huku yaletwe na bomba..! Inabidi tufahamu ni gharama kiasi gani inahitajika kusafirisha hayo mafuta kwa lori + gharama za uharibifu wa barabara + upotevu wa rasilimali muda + inconvenience then tufanye comparison ya cost ya kujenga bomba la mafuta.., tukishafahamu hizi data then tutaweza ku-deduce ni kwa kiasi gani wahusika wanawazimu..!!!
Nimesoma link.., kumbe richmond imeanza siku nyingi hivi..??! siasa za ki-bwa sana hizi..!Huu Mradi ulikwepo kabla hata ya migodi ya Dhahabu...........kuna mjasiriamali moja ......MBEZI TILES....ndo walikuwa mamesha team-up na wamarekani......kilichotokea......wanasiasa wakaweka maslahi ya siasa mbele.....yule babu mpaka leo amebaki analalama tu......kama mnakumbuka Mwl. Juma. Ngasongwa AKIWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA NDIO ALIONGOZA KUMPINGA HUYU BWANA NA HIYO PROJECT. ALIFANIKIWA SASA TUMEFAIDIKA NINIhttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-...sues-pm-others-over-oil-pipeline-project.html