Bomba la mafuta toka Dar mpaka Mwanza!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
20,791
2,000
Nimeshtuka sana niliposikia kwamba hadi leo hii Tanzania bado inasafirisha mafuta toka bandarini Dar mpaka Mwanza kwa kutumia petroleum tankers..!! my God!!, hii ni sawa na wananchi wa Dar tuwe tunafunga safari kwenda Ruvu kuchota maji na ndoo kichwani huku tunaweza kuyasubiri huku huku yaletwe na bomba..! Inabidi tufahamu ni gharama kiasi gani inahitajika kusafirisha hayo mafuta kwa lori + gharama za uharibifu wa barabara + upotevu wa rasilimali muda + inconvenience then tufanye comparison ya cost ya kujenga bomba la mafuta.., tukishafahamu hizi data then tutaweza ku-deduce ni kwa kiasi gani wahusika wanawazimu..!!!
 
Mwera

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
965
0
wakijenga hilo bomba la dar mwanza cc wenye magar yetu tufanyie kazi gani? na vigogo nao wana magar halijengwi ngooo
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,843
2,000
Bomba linajengwa kwa mafuta ambayo hayajasafishwa kama Tazama pipelines, ukiweka bomba mpaka Mwanza kwa mafuta masafi yataibiwa njiani sijui hata kama Mwanza yatafika, kwa mazingira ya kwetu njia salama ni kusafirisha tu.
 
Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
10,690
2,000
Toka miaka ya 90 hadi leo,hilo swala limixha shindikana kutokana na watoa maamuzi ndo wnye hzo tank za petroli!.so ww unataka miradi yao ife ama? Soltn ya hi k2 ili utekelezaji wake uanze ni kukipga chini ccm 2015 lasivyo itabaki ndoto mpaka yesu arudi
 
isotope

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
2,392
0
Mwanza nao waache uzembe, wakiona mafuta ghali watumie maji ya ziwa victoria kuendeshea mitambo na magari yao.
 
isotope

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
2,392
0
Bomba linajengwa kwa mafuta ambayo hayajasafishwa kama Tazama pipelines, ukiweka bomba mpaka Mwanza kwa mafuta masafi yataibiwa njiani sijui hata kama Mwanza yatafika, kwa mazingira ya kwetu njia salama ni kusafirisha tu.
Hayo mafuta ghafi hayatasafishika mwanza?
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
20,791
2,000
Bomba linajengwa kwa mafuta ambayo hayajasafishwa kama Tazama pipelines, ukiweka bomba mpaka Mwanza kwa mafuta masafi yataibiwa njiani sijui hata kama Mwanza yatafika, kwa mazingira ya kwetu njia salama ni kusafirisha tu.
Basi refinery huko Mwanza iwe part of the whole package.., hii inawezekana kabisa.., then mafuta safi toka huko yasaidie na mikoa jirani.., af nimekumbuka.., ile refinery yetu ya hapa ni vipi.., mbona siisikii tena..?!
 
mwenemti

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
310
0
Nimeshtuka sana niliposikia kwamba hadi leo hii Tanzania bado inasafirisha mafuta toka bandarini Dar mpaka Mwanza kwa kutumia petroleum tankers..!! my God!!, hii ni sawa na wananchi wa Dar tuwe tunafunga safari kwenda Ruvu kuchota maji na ndoo kichwani huku tunaweza kuyasubiri huku huku yaletwe na bomba..! Inabidi tufahamu ni gharama kiasi gani inahitajika kusafirisha hayo mafuta kwa lori + gharama za uharibifu wa barabara + upotevu wa rasilimali muda + inconvenience then tufanye comparison ya cost ya kujenga bomba la mafuta.., tukishafahamu hizi data then tutaweza ku-deduce ni kwa kiasi gani wahusika wanawazimu..!!!

kuwa wewe kuweza...!? unamagari harafu watu wakutengenezee bomba la kupeleka mafuta mwanza,hayo magari unataka kufugia bata...!?
 
Kakalende

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,255
1,225
Nimeshtuka sana niliposikia kwamba hadi leo hii Tanzania bado inasafirisha mafuta toka bandarini Dar mpaka Mwanza kwa kutumia petroleum tankers..!! my God!!, hii ni sawa na wananchi wa Dar tuwe tunafunga safari kwenda Ruvu kuchota maji na ndoo kichwani huku tunaweza kuyasubiri huku huku yaletwe na bomba..! Inabidi tufahamu ni gharama kiasi gani inahitajika kusafirisha hayo mafuta kwa lori + gharama za uharibifu wa barabara + upotevu wa rasilimali muda + inconvenience then tufanye comparison ya cost ya kujenga bomba la mafuta.., tukishafahamu hizi data then tutaweza ku-deduce ni kwa kiasi gani wahusika wanawazimu..!!!

Hiyo project ipo, tafuta humu JF tuliungumzia sana mradi huo. Tenda ziitangazwa kama PPP na mkandarasi alipatikana lakini utekelezaji hsukuanza nadhani kulikuwa na mizengwe kwenye zabuni
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,843
2,000
Basi refinery huko Mwanza iwe part of the whole package.., hii inawezekana kabisa.., then mafuta safi toka huko yasaidie na mikoa jirani.., af nimekumbuka.., ile refinery yetu ya hapa ni vipi.., mbona siisikii tena..?!

Suala la kuagiza mafuta liko kwa wafanya biashara wa mafuta, na wanaagiza mafuta yaliyosafishwa, kimesimama hakifanyi kazi.
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,053
2,000
Nimeshtuka sana niliposikia kwamba hadi leo hii Tanzania bado inasafirisha mafuta toka bandarini Dar mpaka Mwanza kwa kutumia petroleum tankers..!! my God!!, hii ni sawa na wananchi wa Dar tuwe tunafunga safari kwenda Ruvu kuchota maji na ndoo kichwani huku tunaweza kuyasubiri huku huku yaletwe na bomba..! Inabidi tufahamu ni gharama kiasi gani inahitajika kusafirisha hayo mafuta kwa lori + gharama za uharibifu wa barabara + upotevu wa rasilimali muda + inconvenience then tufanye comparison ya cost ya kujenga bomba la mafuta.., tukishafahamu hizi data then tutaweza ku-deduce ni kwa kiasi gani wahusika wanawazimu..!!!
tumechelewa sana. tutajenga kwa pesa nyingi lakini miaka michache ijayo mafuta yataanza kuflow kutoka uganda na labda kenya na lakawa halina kazi tena.
 
Prodigal Son

JF-Expert Member
Dec 9, 2009
1,000
2,000
Nimeshtuka sana niliposikia kwamba hadi leo hii Tanzania bado inasafirisha mafuta toka bandarini Dar mpaka Mwanza kwa kutumia petroleum tankers..!! my God!!, hii ni sawa na wananchi wa Dar tuwe tunafunga safari kwenda Ruvu kuchota maji na ndoo kichwani huku tunaweza kuyasubiri huku huku yaletwe na bomba..! Inabidi tufahamu ni gharama kiasi gani inahitajika kusafirisha hayo mafuta kwa lori + gharama za uharibifu wa barabara + upotevu wa rasilimali muda + inconvenience then tufanye comparison ya cost ya kujenga bomba la mafuta.., tukishafahamu hizi data then tutaweza ku-deduce ni kwa kiasi gani wahusika wanawazimu..!!!

Huu Mradi ulikwepo kabla hata ya migodi ya Dhahabu...........kuna mjasiriamali moja ......MBEZI TILES....ndo walikuwa mamesha team-up na wamarekani......kilichotokea......wanasiasa wakaweka maslahi ya siasa mbele.....yule babu mpaka leo amebaki analalama tu......kama mnakumbuka Mwl. Juma. Ngasongwa AKIWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA NDIO ALIONGOZA KUMPINGA HUYU BWANA NA HIYO PROJECT. ALIFANIKIWA SASA TUMEFAIDIKA NINIhttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-...sues-pm-others-over-oil-pipeline-project.html
 
Nimesoma link.., kumbe richmond imeanza siku nyingi hivi..??! siasa za ki-bwa sana hizi..!
 
jiwe la maji

JF-Expert Member
May 17, 2014
1,065
2,000
tumechelewa nini wajenge tu hilo bomba kama mafuta yakianza kutoka uganda basi bomba litafanyakazi kutoa mafuta mza kupeleka dar hivi hawa sisiem wanaona wengine hatuna haki ya kuishi katika tanganyika yetu
 
jiwe la maji

JF-Expert Member
May 17, 2014
1,065
2,000
kazi ya rais kutoka mkoa wa pwani ni kujenga kwao tu mji wa kigambon kutumia mabilion ya $ dalaja la kigamboni zaid ya bill 200 terminal iii pale DIA zaidi ya bil 500 jumla ni zaidi ya 1 trillion na pesa anazitoa mza, shny, geita mara na tbr
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom