Sijui niwape jina gani, nisijeitwa na kamati kuhojiwa.Na Bollen Ngetti
HIVI wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na woga wa kijinga then tuwajadili hawa wabunge wetu hususan wale wa kundi la "Inzile". Tusiogope kuchangia, tuongozwe na ukweli ndio kuwasaidia wala tusijadili chumbani!
Hivi, kuna sababu yoyote ya wabunge wetu hawa kukasirika wakiitwa misukule, matahira au viumbe wasioweza kujiongoza kwa utashi? Kuna ubaya gani tukiwafananisha na midoli ya umeme, "robot". Naomba nikiwa Mbunge nisiambukizwe ugonjwa huu unaoshambulia uwezo wa kufikiri na kuwafanya kuwa namna hii!
Tazama, mwaka 2016 wakati Serikali ya Magufuli ikizindua Mpango wa Maendeleo ya miaka 5 mbeld ya Wabunge jijini Dodoma, Rais Magufuli alielezea kwa kirefu umuhimu wa kujenga reli ya kisasa, SGR na kustopisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Wabunge hawa walishangilia kwa kiwango cha hatari kana kwamba Magufuli kashusha "mana" jangwani.
Ukaanza kuimbwa nyimbo za pambio kuhusu SGR.
Leo, Spika Ndugai kasema umuhimu wa Bandari ya Bagamoyo na kusimamisha ujenzi wa SGR, wabunge wale wale kwa sura na majina yao wakashangilia kama matahira! Kesho Magufuli atasifia SGR tena utawaona wakishangilia, hivi wanatumia viungo gani kufikiri? Kwa nini hawawezi kuwa na misimamo kwa mambo ya msingi kama watu wenye usawaziko wa akili? Tatizo ni nini? Nadhani hata Rais Magufuli anawashangaa sana maana hamumsaidii!
Huyo achana nae tuzungumzie hawa wawakilishi wetu.Hii tabia Yao ya 'bendera' fuata upepo itakoma lini?Sijui niwape jina gani, nisijeitwa na kamati kuhojiwa.
Tuna wawakilishi na watumishi hopeless ktk chi hii.
Umesikia dhamira ya AG kupinga hukumu iliyotolewa na mahakama kuu juu ya MaDED kuwa wasimamizi?? Je AG anafanya hivyo kwa maslahi ya nani au ni aibu ya kugalagazwa akiwa ndiye mshtakiwa( mlalamikiwa) kwenye kesi ile?? Anaona abu AG kushindwa hoja??
PhD nyingi huondoa maarifa. Wabunge wa upinzani hawana PhD lakini wanachangia kwa hoja za kuimarisha Binge na kusaidia Taifa. Wa CCM ni kugonga meza tu kwa lolote lisilotoka upinzani.Na Bollen Ngetti
HIVI wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na woga wa kijinga then tuwajadili hawa wabunge wetu hususan wale wa kundi la "Inzile". Tusiogope kuchangia, tuongozwe na ukweli ndio kuwasaidia wala tusijadili chumbani!
Hivi, kuna sababu yoyote ya wabunge wetu hawa kukasirika wakiitwa misukule, matahira au viumbe wasioweza kujiongoza kwa utashi? Kuna ubaya gani tukiwafananisha na midoli ya umeme, "robot". Naomba nikiwa Mbunge nisiambukizwe ugonjwa huu unaoshambulia uwezo wa kufikiri na kuwafanya kuwa namna hii!
Tazama, mwaka 2016 wakati Serikali ya Magufuli ikizindua Mpango wa Maendeleo ya miaka 5 mbeld ya Wabunge jijini Dodoma, Rais Magufuli alielezea kwa kirefu umuhimu wa kujenga reli ya kisasa, SGR na kustopisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Wabunge hawa walishangilia kwa kiwango cha hatari kana kwamba Magufuli kashusha "mana" jangwani.
Ukaanza kuimbwa nyimbo za pambio kuhusu SGR.
Leo, Spika Ndugai kasema umuhimu wa Bandari ya Bagamoyo na kusimamisha ujenzi wa SGR, wabunge wale wale kwa sura na majina yao wakashangilia kama matahira! Kesho Magufuli atasifia SGR tena utawaona wakishangilia, hivi wanatumia viungo gani kufikiri? Kwa nini hawawezi kuwa na misimamo kwa mambo ya msingi kama watu wenye usawaziko wa akili? Tatizo ni nini? Nadhani hata Rais Magufuli anawashangaa sana maana hamumsaidii!
Kwa Baba Askofu Shoo....!Hivi Ndugai anatakiwa aitwe kwenda kuhojiwa kwenye kamati gani? Tuanzie hapo kwanza
Wanafanya makusudi ili population kubwa ibaki mbumbumbu ili wenyewe wazidi kupeta. Ndivyo ilivyo siasa ya kisoshalist na kicommunist. Animal farm.Wabunge wa CCM ni waoga wa nafsi zao,uoga huo unajenga unafiki.
Unafiki unamuondoa mtu utu wake,na ukizoeleka unajenga tabia ya upofu wakuchangia miswaada bungeni.
Mwisho wake ni mbaya sana.Hatusogei hata kwa mijeredi.
Wewe ni mmoja wa mataahira. Upo hapo?Mleta mada sio CCM ungekuwa CCM ungekuwa na uelewa mkubwa .Huelewi katiba ya nchi inasenaje.Katiba ya nchi inasema kila mtu anastahili heshima na kuthaminiwa utu wake.Kumwita mtu taahira,msukule nk ni kumvunjia mtu heshima na utu wake .Haikubaliki na haivumiliki na Ni uvunjaji katiba na kosa kisheria
yeye mwenyewe magufuli wale waleNa Bollen Ngetti
HIVI wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na woga wa kijinga then tuwajadili hawa wabunge wetu hususan wale wa kundi la "Inzile". Tusiogope kuchangia, tuongozwe na ukweli ndio kuwasaidia wala tusijadili chumbani!
Hivi, kuna sababu yoyote ya wabunge wetu hawa kukasirika wakiitwa misukule, matahira au viumbe wasioweza kujiongoza kwa utashi? Kuna ubaya gani tukiwafananisha na midoli ya umeme, "robot". Naomba nikiwa Mbunge nisiambukizwe ugonjwa huu unaoshambulia uwezo wa kufikiri na kuwafanya kuwa namna hii!
Tazama, mwaka 2016 wakati Serikali ya Magufuli ikizindua Mpango wa Maendeleo ya miaka 5 mbeld ya Wabunge jijini Dodoma, Rais Magufuli alielezea kwa kirefu umuhimu wa kujenga reli ya kisasa, SGR na kustopisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Wabunge hawa walishangilia kwa kiwango cha hatari kana kwamba Magufuli kashusha "mana" jangwani.
Ukaanza kuimbwa nyimbo za pambio kuhusu SGR.
Leo, Spika Ndugai kasema umuhimu wa Bandari ya Bagamoyo na kusimamisha ujenzi wa SGR, wabunge wale wale kwa sura na majina yao wakashangilia kama matahira! Kesho Magufuli atasifia SGR tena utawaona wakishangilia, hivi wanatumia viungo gani kufikiri? Kwa nini hawawezi kuwa na misimamo kwa mambo ya msingi kama watu wenye usawaziko wa akili? Tatizo ni nini? Nadhani hata Rais Magufuli anawashangaa sana maana hamumsaidii!
Haya maneno umeshamueleza Musiba..???Mleta mada sio CCM ungekuwa CCM ungekuwa na uelewa mkubwa .Huelewi katiba ya nchi inasenaje.Katiba ya nchi inasema kila mtu anastahili heshima na kuthaminiwa utu wake.Kumwita mtu taahira,msukule nk ni kumvunjia mtu heshima na utu wake .Haikubaliki na haivumiliki na Ni uvunjaji katiba na kosa kisheria
Waheshimiwa asilimia kubwa ni fursa kula posho na heshima mjengoni. Wanafiki wa kutupwa.Naona panga linakuja uwakilishi kwa mkoa wawili kwa jenda me na ke