tumeshajua dawa yenu ndogo tu. Ni mwendo wa kuwabambika kesi za money laundering baasiSafari hii magaidi wakikuteka watakupa kesi ya uhujumu uchumi
na wanaccmAkifanya hivyo atafanya mkutano jimbo gani maana sasa hivi wanaoruhusiwa kufanya mikutano ni wabunge,madiwani na
no. 1 peke yao
Mwandishi anatakiwa awe anaandika vitu gani ili asionekane mwanasiasa?
Ni kweli nchi inavuja damu. Leo nimepelekwa rumande mara baada ya kumwuliza mwenyekiti wa kitongoji kuwa yeye alichaguliwa lini? Aliposhindwa kujibu akakimbilia kwa wakubwa zake na kusema nimeitukana serikali.So sad.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Mnakimbiza upepotumeshajua dawa yenu ndogo tu. Ni mwendo wa kuwabambika kesi za money laundering baasi
Mazuzu ni type yako wewe na wenzio.
Mfollow fb uzusha nondo mkada asiyesafisha mikojo ili mkono uende kinywaniAnaandikia gazeti gani huyu mjamaa?
Nakukumbusha tu mshairi PANAPOVUJA DAMU ndo panapopendwa zaidi
Tunaipenda nchi yetu hata ikivuja damu