Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,017
- 2,649
Kumbe sababu kubwa ni Membe hivi Magufuli zimwo kweli?
Unamuogopa membe ili iweje kwa mfano wakati una kila kitu?
Wewe ni rais, majeshi polisi TISS yote yako chama pia wewe ni mwenyekiti si umfukuze Membe uwanachama?
Kweli shemela .... wale wa the river between tunajuana sanaWahenga tunajuana
MikocheniMambosasa anaishi wapi? Maana ni asikia nyumba yake ndiyo interrogation room
Kuwa smart ni kusifia tu,sio kusema jingine?acheni ujingaHuyo jamaa sijui Ngeti inaelekea siyo smart sana kichwani vinginevyo asingechezea maisha yake kijinga hivyo.
Usiseme unamwachia mungu hakuna kitu kama hicho. Pambana na mungu atakuwa upande wako. Ulisema namwachia mungu ni hatua ya kukata tamaa. Pambana ndani ya nchi yako kwa kusema ukweli hata kama wanakuua kwa kusema. Hapo ndio watakapojua mungu ni naniHOJA TATU CHANZO CHA KUKAMATWA/KUTEKWA BOLLEN NGETTI.
Bollen Ngetti, Mwanaharakati na Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, aliyetekwa tarehe 23/12/2019 siku ya Jumatatu na watu wasiojulikana, kapatikana leo maeneo ya Tabata Segerea baada ya kuachiwa huru na watu hao wasiojulikana.
Bollen Ngetti, amekuwa akitekwa mara kwa mara kwa kipindi hiki cha miaka takribani 4, Mwanaharakati na Mwandishi huyu wa habari za kiuchunguzi ametekwa mara 3 na kutekwa kwake jana ikiwa ni mara ya 4.
KWANINI BOLLEN NGETTI ANATEKWA SANA?
Hizi ni hoja tatu (3) zilizotajwa na Bollen baada ya kutekwa siku ya Jana Tarehe 23 na kuhojiwa hoja hizi tatu ambazo Bollen Ngetti kataja kwamba zimekuwa zikijirudia sana anapotekwa na watu wasiojulikana.
1. Bollen Ngetti kila anapotekwa, amekuwa akiulizwa mahusiano yake ya kikazi na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje wa Serikali ya awamu ya nne, Ndg. Bernard Kamillus Membe.
2. Bollen Ngetti, anasisitizwa pia kutaja watu anaofanya nao kazi, kazi ambayo watekaji hataki kuiweka wazi!
3. Bollen Ngetti, analazimishwa na watekaji kutaja sehemu ambayo huwa wanafanya vikao, vikao ambavyo Bollen hajui ni kuhusu nini.
Bollen Ngetti anakiri now hayuko sawa kisaikolojia, maana pamoja na kuamua kunyamaza lakini bado amekuwa akiandamwa sana.
Anamalizia kwa kusema "Namuachia Mungu, maana sasa sina amani tena kwenye nchi yangu, naamini ipo siku yatakwisha tu".
Aiiseee. Wazo la mwaka hili!Tatizo la hawa wanaotekwa ni hiyo kauli yao ya kumwachia Mungu...
Siku zote Mungu yupo bize sana..
Sasa utamuachiaje mambo yanayosababishwa na binadamu (m)wenzako...??
Hivi hii ni theolojia ya wapi??
Kwa mara ya kwanza ninakubaliana nawe; lakini kwa maana tofauti kabisa na uliyonayo wewe.Huyo jamaa sijui Ngeti inaelekea siyo smart sana kichwani vinginevyo asingechezea maisha yake kijinga hivyo.
. mmmmh Ni hatari nchi hii hii askari na intelligence YOTE. HII YA. TANZANIA WATEKAJI HAWAJULIKANI??????HOJA TATU CHANZO CHA KUKAMATWA/KUTEKWA BOLLEN NGETTI.
Bollen Ngetti, Mwanaharakati na Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, aliyetekwa tarehe 23/12/2019 siku ya Jumatatu na watu wasiojulikana, kapatikana leo maeneo ya Tabata Segerea baada ya kuachiwa huru na watu hao wasiojulikana.
Bollen Ngetti, amekuwa akitekwa mara kwa mara kwa kipindi hiki cha miaka takribani 4, Mwanaharakati na Mwandishi huyu wa habari za kiuchunguzi ametekwa mara 3 na kutekwa kwake jana ikiwa ni mara ya 4.
KWANINI BOLLEN NGETTI ANATEKWA SANA?
Hizi ni hoja tatu (3) zilizotajwa na Bollen baada ya kutekwa siku ya Jana Tarehe 23 na kuhojiwa hoja hizi tatu ambazo Bollen Ngetti kataja kwamba zimekuwa zikijirudia sana anapotekwa na watu wasiojulikana.
1. Bollen Ngetti kila anapotekwa, amekuwa akiulizwa mahusiano yake ya kikazi na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje wa Serikali ya awamu ya nne, Ndg. Bernard Kamillus Membe.
2. Bollen Ngetti, anasisitizwa pia kutaja watu anaofanya nao kazi, kazi ambayo watekaji hataki kuiweka wazi!
3. Bollen Ngetti, analazimishwa na watekaji kutaja sehemu ambayo huwa wanafanya vikao, vikao ambavyo Bollen hajui ni kuhusu nini.
Bollen Ngetti anakiri now hayuko sawa kisaikolojia, maana pamoja na kuamua kunyamaza lakini bado amekuwa akiandamwa sana.
Anamalizia kwa kusema "Namuachia Mungu, maana sasa sina amani tena kwenye nchi yangu, naamini ipo siku yatakwisha tu".
. mmmmh Ni hatari nchi hii hii askari na intelligence YOTE. HII YA. TANZANIA WATEKAJI HAWAJULIKANI??????
Hivi na wewe ukitekwa watu watakulilia kwa maneno yako hayoKokoto ni muoga kama matako ya kicheche
Akistuliwa kidogo tu,amehara!
Majitu yasiyo na akili hata yawe na madaraka kama “mungu” bado yatakua majinga tu!
Ujinga hauondolewi kwakua na madaraka!
Mungu mwenyewe yupo kwa ajili ya Waisraeli tuTatizo la hawa wanaotekwa ni hiyo kauli yao ya kumwachia Mungu...
Siku zote Mungu yupo bize sana..
Sasa utamuachiaje mambo yanayosababishwa na binadamu (m)wenzako...??
Hivi hii ni theolojia ya wapi??