Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Bill Gates Mfanyabiashara maarufu wa USA baada ya kuwadunga maskini wa Dunia kinga ya ambayo imeondoa vizazi vyao sasa hawatazaa tena kupitia Melinda and Gates foundation, ameendelea na majaribio yake kwa watu masikini wa Dunia hii na baada ya kuja na mradi wa maji ya kunywa ambayo yanatokana na kinyesi au maji taka, ambapo kinyesi cha binadamu kinageuzwa kuwa maji ya kunywa na kuletwa huku kwetu Bara Giza kuondoa tatizo la maji sasa amekuja na mpango mwingine wa kugawia nchi masikini kuku ili waweze kujikomboa na umaskini" kwa mujibu wa maneno yake mwenyewe, sasa nchi ya Bolivia imekataa msaada huu na kuuita kuwa ni dharau kwa Wananchi wa Bolivia.
Najua hawa kuku pia watafika kwetu tu hivyo namuomba Rais Magufuli asikubali hawa kuku wa Bill Gates. Sisi hatuna upungufu wa kuku ana wala hatuhitaji kuku wake, hii ni dharau kubwa sana anaionesha mfanyabiashara huyo!
* Ikumbukwe kwamba hawo kuku wote wamedungwa dawa ambayo
Bill Gates anaiita ni chanjo dhidi ya magojwa ya kuku, na hapo biashara kwa Dr.Mwaka itakapoongezeka!
Bill Gates akijaribu maji yaliyotokana na kinyesi ambayo anataka kuyaleta Afrika, kuondoa uhaba wa maji yaani maji ya choo huingizwa kwenye mashine maalumu na husafishwa na baadaye watu wa bara giza kuletewa na kunywa!
Bill Gates anataka kuondoa hili tatizo!
Huu ndiyo mtambo wenyewe wa kugeuza Maji taka ya choo hasa ya Wazungu kuwa maji safi na salama ya kunywa!
Cluck you: Bolivia rejects Bill Gates' donation of hens