Ni sawa na Farolito Favorita mwana wa Favela Favela wa Francisco ......Bw. Simón José Antonio de la Santísima Trinidad Bolívar y Palacios Ponte-Andrade y Blanco
Mbona jina refu sana au ni maana Fulani?
Ndiyo, ni madini ya Bolivia hayaBolivianite inataka kufanana sana na Tanzanite,je nayo yanapatikana Bolivia tu?
Wafungwa wanaoishi vyema katika magereza mengine huamishwa kuelekea gereza la San Pedro wengi wa hawa wanaoujuzi na fani mbalimbali wakitumika kuzalisha katika viwanda vya gereza na mashamba huku wakiruhusiwa kuvuta familia zao ndani."Vivutio vingine ni gereza la San Pedro, gereza la kulipia kuwaona wafungwa wanaoshi na familia zao ndani huku wakipewa ruzuku na kufanya biashara ndani ya gereza, uwepo wa vituo vya simu, soko, kumbi za starehe na kiwanda cha uzalishaji madawa yenye usaidizi hospitali."
Mkuu hawa wanaofungwa hili gereza ni kina nani na kwanini waishi na familia zao?
Mji mkuu ulikuwa La Paz kutokana na eneo la La Paz kuwa na jamii moja kubwa ya watu fulani, nao Sucre wakaanzisha harakati kuomba kupewa hadhi ya mji mkuu kutokana kuwa na jamii za watu mbalimbali.Ahsante na heshima nyingi kwa Ni Ni nchi ina miji mikuu miwili?
[emoji3][emoji3] nimekusomaNi sawa na Farolito Favorita mwana wa Favela Favela wa Francisco ......
Nipo hapahapa Tanzania mkuu. Huwa nina mapenzi makubwa na maisha ya Latin America, navutiwa na tamaduni zao ikiwemo Filamu/Series, Michezo (Hasa Mpira wa miguu), Music pamoja na Lugha zao (Spanish na Portuguese). Hata hivyo mwaka wa juzi yaani 2018 nilitimiza ndoto zangu za kufika Amerika Kusini baada ya Kupata nafasi (kwenye shirika ninalofanya kazi) ya kwenda Mexico city kikazi kwa muda wa wiki mbili kasoro . Safari hii ilinifanya nizidi kuvutiwa zaidi na lifestyle ya watu wa Latin Amerika japo kuna vitu vinanichukiza kama vile uhuni wao uliopitiliza (kwa baadhi yao).Asante sana, umekuwa na msaada katika hizi tour. Samahani unaishi latin? Au unahusika zaidi na masuala ya mpira wa miguu!
Nadhani ni suala la utashi na maono ya kimaisha au kutafuta maisha. Kila taifa kuna baadhi ya raia wanaotaka kuhamia taifa jingine.Bolivia nasikia wananchi wao hutamani sana kukimbilia USA ni kwa nini?
Safi sana na hongera!Nipo hapahapa Tanzania mkuu. Huwa nina mapenzi makubwa na maisha ya Latin America, navutiwa na tamaduni zao ikiwemo Filamu/Series, Michezo (Hasa Mpira wa miguu), Music pamoja na Lugha zao (Spanish na Portuguese). Hata hivyo mwaka wa juzi yaani 2018 nilitimiza ndoto zangu za kufika Amerika Kusini baada ya Kupata nafasi (kwenye shirika ninalofanya kazi) ya kwenda Mexico city kikazi kwa muda wa wiki mbili kasoro . Safari hii ilinifanya nizidi kuvutiwa zaidi na lifestyle ya watu wa Latin Amerika japo kuna vitu vinanichukiza kama vile uhuni wao uliopitiliza (kwa baadhi yao).
Ndoto yangu nikufika Brazil na Colombia, hii namuomba sana Mungu itimie kabla hajanitwaa!
Hili taifa limelalia milima ya Andes na miinuko mikali, ujenzi wa viwanja vinakuwa juu zaidi ya usawa wa bahari hata jiografia ya Ziwa Titicaca inalifanya kuwa ziwa la juu zaidi katika usawa wa bahari.Mleta maada vipi kuhusu viwanja vya mpira vya Bolivia? Nchi nyingi hasa za america kusini huwa zinavilalamikia sana na hata kuna wakati FIFA ilivifungia kwa sababu viko juu sana usawa wa bahari.
Wachezaji wa nchi za kigeni huwa wanapata wakati mgumu sana kucheza Bolivia make hawajazoea na wengi huambulia vipigo
Dah unatembea mulemule mkuu that girl Sofia anajitahidi sana kwa Mexico ...Puerto Ricans wananibamba sana hawa kina Yandel na Wisin nawakubali sana! Even Cubans e.g Camilla Cabello ananikosha mno.Safi sana na hongera!
Hivyo kuhusu Sofia Reyes, J Balvin, Sky, Wisin y Yandel, Bad Bunny na wengine ni mirindimo kwako 😊
Twende na Puerto RicoNext Virtual Tour (Vote)
• Puerto Rico
• Dominica Rep.
• Jamaica
• Ecuador
• Guyana
• Suriname
• Costa Rica
• Honduras
• Guatemala
• El Salvador
• Haiti
• Nyingine
Pendekeza taifa la kufikiwa kwanza, wingi wa kula ndio litafikiwa la kwanza.
Sawa, 🙏Twende na Puerto Rico
Ebwana isajorsergio Twenzetu kwenye fukwe Puerto Rico kwanza. Hahahahh halafu baadaye Costa RicaNext Virtual Tour (Vote)
• Puerto Rico
• Dominica Rep.
• Jamaica
• Ecuador
• Guyana
• Suriname
• Costa Rica
• Honduras
• Guatemala
• El Salvador
• Haiti
• Nyingine
Pendekeza taifa la kufikiwa kwanza, wingi wa kula ndio litafikiwa la kwanza.
Vote counts!Ebwana isajorsergio Twenzetu kwenye fukwe Puerto Rico kwanza. Hahahahh halafu baadaye Costa Rica