Unataka boksi ngapi kiongozi na uko wapiMatumaini mpo salama humu wakuu.
Kama mtu ana boksi la tv hisence inc 49 tufanye biashara maana nina uhitaji sana na hii kitu.
Duuh mtihani siko Dar niko Lindi aisee, zipo kama sita hivi.nahitaji moja tuu mkuu ikiwa upo dsm itakua inapendeza
maana mzigo upo dsm