Boko haram

Status
Not open for further replies.
Mkileta kejeli za dini kamwe hamtokuja mapata majibu mazuri ya maswali yenu na kinyume chake tutawapigishwa kwata mpaka uzi utiwe kufuli au kufutwa.

na kukimbilia radio Imaan kuishtaki JF
 
 
It's very sad sana kuona binadamu akimdhuru mwenzake Kwa maumivu namna hii, nimeangalia sana video za kinachoendelea Central Africa ni aibu sana Kwa utu wa binadamu. Na ninyi mnaodhani udini unafaida fikirieni upya tena na tena.
 
mh!?????????
 

ha ha haaa! Umei state vizuri kweli. Naifahamu sheikh Ilunga's principle, 'whoever believes in death and ressurection of Jesus should be slayed or stoned to death; pastors, monks, nuns, fathers, bishops, archedeacon! Hold them kill them, and all muslim should say takbir'
 
Jamani matusi wekeni pembeni!!!!! Tuendelee na mjadala
 
Mstari wa 33 chapter ya 17 katika kuruani inakataza mauaji yasiyo na sababu ya msingi.Sidhani kama boko haram usomaga haya hizi wangekuwa wanasoma wasingeua watoto wa shule
 

Ant-Balaka ni output ya Seleka,na hawa Seleka walikuwa wana nia,matendo na malengo kama haya haya ya Boko Haram sema tuu Wakristo wa CAR uvumilivu,unyonge na hofu vilifika kikomo wakatafuta dawa ndio wakapata hiyo kinga inayoitwa Ant Balaka. Na naamini hawa Boko Haram muda si mrefu itapatikana dawa yake na mtakuja hapa kulalamika kama mnavyolalamika kuhusu CAR.
 
Kwa wale wanaotaka kujua wigo (limitations) wa uwezo wa binadamu kuchanganua mambo inawapasa waende mbali zaidi. tatizo kuna watu tena wengi duniani kwa sasa ikwewezekana mimi na wewe ni mojawapo, wanaopenda kuamini vile wanavyoviona, kusikia na hata kuwaza kuwa ndio sahihi tu.
Ni bora ukapata elimu kidogo sana lakini ya kweli kuliko kuonekana una elimu (information) kubwa lakini zilizopotoshwa. Dunia inapitia katika wakati mgumu kidogo sababu ya hili tatizo la elimu isiyo sahihi.

Fuatilia kwa makini sana hii link na ndio utaelewa ni kwa nini hawa watu wanafikia hata kutulazimisha kuukubali ushoga mbali na kupingana au kukubaliana na hawa boko haramu!
Space Race Interactive Test
 
We mujahidin waliolianzisha huko Central Africa ni waislam wa wa Seleka na walipindua mpaka serikali. Sasa hao waswaha walipochinja wakristu sana ndipo wakristu wakaamua kujitetea na kuunda kundi la Anti baraka ambalo ndo linawapa kichapo waswaha walioanza uchokozi!


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

sereka awakufanya haya ya ant baraka
 
Hivi kweli kuna mkrito mwenye akili anatoka kwenye ukristo na kuhamia uislamu.
 
It's very sad sana kuona binadamu akimdhuru mwenzake Kwa maumivu namna hii, nimeangalia sana video za kinachoendelea Central Africa ni aibu sana Kwa utu wa binadamu. Na ninyi mnaodhani udini unafaida fikirieni upya tena na tena.

Ni kweli mtu anayejisikia kwamba kuna 'elementary particles' za udini ndani yake should change that way of thinking maana kwenye vita vya udini there's no a so called permanent winner or looser... mapambano ya kulipiza kisasi yataendelea kila mtu akiwa na uchungu wa kumpoteza ndugu yake, jamaa, rafiki nk itakuwa jino kwa jino mpaka watu wote wawe vibogoyo na shida kubwa ya kuanza kwa udini ni pale mtu kuona dini yake ni 'superior' kuliko dini za wenzake lakini ukijua ukweli kwamba dini yangu ni kama za wenzangu(hata kama kuna tofauti ya namna ya kuabudu) itakufanya uheshimu dini za wenzako, leo Mkristo anaona dini yake ni bora kuliko ya Muislamu na Muislamu naye anaona yake ni bora kuliko Mkristo hapohapo Myahudi naye anaona wote wamepotea yake ya Kihayudi ndiyo bora kuliko zote na wengine vilevile nk that's just how everyone perceives but our perceptions will never change the truth kwamba Mungu atahukumu kwa haki kwa kuangalia matendo mema na mabaya ya mwanadamu hakuna Mkristo/Muislamu/Myahudi nk atakaye ingia mbinguni kwa mwavuli wa dini yake tofauti na matendo yake. Utakuta jambazi, mwizi, mzinzi anasema yeye ni Mkristo/Muislamu/Myahudi sasa hapo usitegemee hukumu kufuata dini
 



Da umenichekesha sana
 
Hivi kweli kuna mkrito mwenye akili anatoka kwenye ukristo na kuhamia uislamu.

Mimi huwa nikisoma haya hii, (Sura 33:37)-ya mtume kumnyang'anya kijana wake mke na kumuoa, pia mtume kuoa mtoto wa miaka 6 katika haya (Qur'an 33:21-) huwa nasema kuliko kumfuata mtume huyo bora nisiwe na dini.
 

wako kwenye vita ya jihadi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…