Boko haram waua wanafunzi 46 kwa bomu

Boko haram waua wanafunzi 46 kwa bomu

Status
Not open for further replies.
Nauliza hawa wachungaji wanaoiba wake za watu kila siku kwa kupitia makanisa yao ni mafundisho ya biblia?
Je mapadri wanaogombania waruhusiwe wawe mashoga na wengine walikuja hadi hapa tanzania whitesands hotel kufanya mkutano wa maaskofu mashoga je hayo ndiyo mafundisho ya yesu kristo?

Stop fooling yourselves

ni mambo yao binafsi hawauwi watu wengine kama nyinyi na dini lenu la kishetwaani......mfyuuuuuuuuuuu
 
nashangaa aina gani ya magaidi wanaonea watoto wa shule tu.........naomba Mungu aendelee kuwatwanga na tezi dume hadi mkome!
 
Nakubali dini zote zina mapungufu yake,lakini dini yenye kuhalalisha kuua wasio na hatia ndo ndini mbaya
 
..angalia nchi zenye waislam wengi zina vurugu na vita kuliko nchi zenye wakristo wengi e.g south american countries
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom