FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,823
- 46,943
Kundi la kiislam linalopinga watoto kwenda shule limelipua Bomu la kujitoa mhanga katika shule moja mjini postikum kaskazini mashariki mwa Nigeria. Kundi hilo linataka wasichana wasiende shule na wavulana waende madrasat tu!
Hakuna mafunzo ya kukataza kutafuta elimu katika uislam,Mtume Muhammad,kahimiza kutafuta elimu.Aya ya kwanza katika Qur'an imesisitiza kuhusu elimu na masomo na umuhimu wa kalamu.Ni lazima kutafuta elimu kwa muislamu mwanamke na mwanamme .Kweli bwana, hii heading hii! INatuibia kabisa.
Tofautisha kujua kusoma na kuelimika,waweza jua kusoma lakini ikawa hujaelimika.Wagunduzi wa elimu zote tulizokuwa Nazo walikuwa hawajui kusoma lakini walielimika.safi sana mtume mwenyewe alikuwa hajui kusoma sasa hao wasome ili iweje na tutaendelea kujilipua
Takbiiiiiirr
Hii dini ndio iliyokufanya ukaweza kuhesabu namba 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0Hii si dini bali ni laana aliyo iacha mtume mwamedi!
Scientist On The Qur'anwww.islamic-awareness.orghayo ndo mafundisho ya mtume mwamedi.Hii dini ni virus!
JK angekua amesoma madrasat peke yake si tunge epuka mengi Sana.., eti..madrasat inatosha tupa kule ilimu ya magharibi, tukimaliza kusilimisha naijaria tunahamia afrika nzma hadi tz,
sisi ndio boko haram al shababu fotokopi,
takbiiri
Chuki wanazozidhihirisha hao wayahudi na manaswara ni chembe tu ya waliyoyaficha mioyoni mwao. Takbiiir.JK angekua amesoma madrasat peke yake si tunge epuka mengi Sana.., eti..
Kundi la kiislam linalopinga watoto kwenda shule limelipua Bomu la kujitoa mhanga katika shule moja mjini postikum kaskazini mashariki mwa Nigeria. Kundi hilo linataka wasichana wasiende shule na wavulana waende madrasat tu!