FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Kundi la kiislam linalopinga watoto kwenda shule limelipua Bomu la kujitoa mhanga katika shule moja mjini postikum kaskazini mashariki mwa Nigeria. Kundi hilo linataka wasichana wasiende shule na wavulana waende madrasat tu.