kwa mujibu wa habari rasmi walizotoa police wa nigeria jana,watoto waliotekwa ni 276,walikuwepo watoto toka shule zingine walikuwa wameenda kwenye hiyo shule kufanya mitihani.kwa hiyo ukiwajumlisha na wanane waliotangazwa leo ambao walitekwa toka jumapili wanakuwa 284,God have mercy on those girls