Jamaa yako anasema Mungu alipa ubaya kwa wema na binaadam ubaya kwa ubaya ! Ajabu mnasoma Biblia lakini hamtii maanani, Mungu alimuangamiza Pharao na watu wake, wale wayakudi waliobudu ngombe waliuawa. Wale wa safina, wale wa Luth, Mungu hakuonyesha huruma ?