Boko haram ni mali ya CIA ya Marekani

Boko haram ni mali ya CIA ya Marekani

Wanzungu ni majambazi sugu, mtu anae washabikia bado hajui kitu na nikilaza kabisa. Series ya narcos ya Pablo ukiitizama kwa umakini utawaelewa CIA walivyo washenzi, napia inawezekana walimuua ili kupora mali zake.

Kupora mali kwa kuingiza cocaine America kuharibu jamii kubwa ya wamarekani ndio maana wakaenda kule kule Colombia na kumzabua mchana kweupe America ukiwaletea upumbavu hawana mda wakamzabua mchana Sadam hussein Muamar gadafi shenz kabisa GODBLESS AMERICA.
 
Ile dini ya haki inayotolewa na viongozi wasiosoma mengine wao wamesoma ya ahela tu ndio inatufikisha huku

MTU ajilipue ilikupata mabikra ahera ndio tulikofikia shenz
Wale jamaa wanaojilipua makombora wana self interest zao kwenye uislam hawatambuliki kabisa uliza muislam anaeijua dini yake vizuri
 
Kupora mali kwa kuingiza cocaine America kuharibu jamii kubwa ya wamarekani ndio maana wakaenda kule kule Colombia na kumzabua mchana kweupe America ukiwaletea upumbavu hawana mda wakamzabua mchana Sadam hussein Muamar gadafi shenz kabisa GODBLESS AMERICA.
Hujui kitu kuhusu wazungu bora ukae kimya, wauzaji wakubwa wa madawa nihao unao watetea.
 
Kila mtu atasema lake lakini ukweli ni kuwa Boko Haram ni zao la Wanaigeria wenyewe na wasitafute visingizio vya kutengeneza. Na kuna uwezekano pia wanapata misaada kutoka kwa makundi ya kigaidi ya aina kama wao kama baadhi ya tafiti za nyuma zilivyowai kuripoti.
 
Asilimia 100℅ ya matatizo yetu yameletwa Na imani mpya. Na watawala wanao jifikilia wao tu Na familia zao.
 
Nafikiri hayo yatakuwa mawazo yako tu....
Tatizo la waafrika ni kujaribu kuwatupua lawama wengine kwa matatizo tunayojitafutia wenyewe....
Boko Haramu ni zao la waafrika wenyewe....tusiwasingizie wazungu....Huyo Muhamed Yusuph founder wa Boko Haramu....alikua ni mwanazuoni wa kiislamu..na alikua na lengo la kuhakikisha sharia za kiislamu zinatumika Nigeria....Kumbuka Majimbo ya kaskazini ya Nigeria yana idadi kubwa sana ya Waislamu....hivyo huyu jamaa ilikua nirahisi sana kupata wafuaasi....
Boko Haramu wanapinga na kila kitu ambacho kiko western...Kuanzia Western Education, Uvaaji wa Suruali etc....hata ukiangalia maana ya Boko Haramu maana yake Western Education is Forbidden....
Huyu Yusuph alianzisha shule yake wakifundisha sharia na wazazi wengi hasahasa kaskazini mwa Nigeria walitoa watoto wao from government schools na kuwapeleka huko...umaskini iliwezekana ikawa sababu pia....

BOKO HARAMU ilikuja kuwekwa kwenye listi ya Terrorist Groups...baada ya kuanza kupata link na misaada ya makundi mengine yakiislamu al qaeda..etc....kwa lengo la kuwage global war....Hapo ndipo Marekani alipoanza kulifuatilia.....

Mambo mengine tuache kuwasingizia wazungu.....Wazungu huwa wanatafuta Loop hole....hawawez kuingia kama watu wameshikama....
Uislamu umefasababisha mtafaruku mkubwa sana....na hii ni sababu the good people in Islam wapo kimya....instead the hardliners ndo wansongea wanapata wafuasi mpaka inaonekana wanawakilisha waislamu wote
 
kwa taarifa yako.Boko haram ni kakikundi kadogo tuu.na kama serikali zilikua ziko wazi kutaka kukimaliza hiki kikundi isingechukua mda wote huo kupigana na hawa jamaa.jiulize mbona zenji hakuna vita na wapo waislamu wakubwa pia??. ni kwamba mzungu bado hajaona sababu ya kuitikisa Tz..unafkiri boko haramu wana kiwanda cha kuunda silaha na magwanda...hivyo vyote wanapewa na wadhsmini wa hivyo vita ambao ni wazungu...mbona walituonyesha uwezo wao wa kumkamata osama kwa kutumia mitandao??..kama wadhamini wa hivyo vita huko somalia,nigeria angekua mtu tofauti nao lazma wangewakamata na kuwatia hatiani kwa kufadhili hizi vita..lakini mpaka leo umeskia nani kakamatwa kwa kuzifadhili alshabaab na boko haram???...
 
Ile dini ya haki inayotolewa na viongozi wasiosoma mengine wao wamesoma ya ahela tu ndio inatufikisha huku

MTU ajilipue ilikupata mabikra ahera ndio tulikofikia shenz

Ugaidi hauna dini ndugu yangu, ushasahau ya Kibwetere Uganda? Je Joseph Kony Pia wa huko huko ? Hawa walikuwa waislamu ? Kule Burma / Myanmar je wanotesa wenzao Pia ni waislamu ? Ireland ya kaskazini (UK hii) wakatoliki dhidi ya waangelikana !!
 
Nadhani siku tanzania tukileta kihelehele nchi itakuwa base ya vita kama nchi nyingine za africa na hili linawezekana kwa namna moja au nyingine chini ya uongozi wa makinikia
Hata kweli walishaanza kutengeneza base yao kibiti lkn jeshi letu madhubuti likiongozwa Na JPM wakawafyeka magaidi yote mengine yamesambaa hovyo huko mtwara na kusini yote yanaishi kwa kufichama
 
Hili ni jukwaa ambalo kila mtu anawakilisha mawazo yake,lkn tungeweza kung'amua kwa kina hii post tungepata ukweli wa majibu ya maswali magumu juu ya huu ulimwengu..ahsante mtoa post kwa mimi na uwelewa wangu nimeelewa na nakubaliana na ww kwa asilimia 80,narudia tena ahsante kwa chakula cha ubongo.
 
Lakini na sisi waafrika tunao kubali kusaliti nchi zetu kwa nini tusikatae?
Kama Afrika tumeliona hili kuwa tatizo kwa nini tusiungane kukataa huu upuuzi wa ki magharibi?
Kweli kila siku tunasingizia wazungu,, wakati ss wenyewe tumeshindwa kujiendesha,,,, Tanzania,, Congo,, Sudan,,Somalia,, Nigeria,,,,,.... [HASHTAG]#ubinafsi[/HASHTAG], uroho, tamaa, ujinga na n.k
 
Hizi siku zote ni akili za kiafrika. Zibaposhindwa kutatua matatizo yao zinawasingizia CIA au Marekani. Mi nadhani siku Waafrika tukiweza kukubali kuwa ni Tuna Upumbavu au Upuuzi uliopitiliza tutaanza kufunguka na kuachana na Upuuzi wa Kusingizia Marekani au CIA. kama miaka yote tunagombanishwa tatizo si la hao USA. TATIZO NI SISI SABABU YA UPUMBAVU WETU. NADHANI TUTAMBUE MATATIZO YETU NA TUYATATUE PASIPO KUSINGIZIA NCHI YEYOTE. TUMETAWALIWA miaka na miaka Huko nyuma na kuchukuliwa Utumwani. Lawama zikawa kwa wazungu na waarabu. Sisi waafrika ni Dhaifu.
 
Back
Top Bottom