Boflo

Boflo

Ndugu zangu Amavubi na Bujibuji mtapata vidonda vya tumbo bure....acheni huu ubahili. Chai hata mia haifiki?

DSC06011.JPG
hii ndizi mbona haijaenda suna?
 
Wakazi wengi wa Visiwani Zanzibar wanapenda sana kutumia mikate ya Boflo kama ni chakula cha asubuhi,kutokana na kupanda bei kwa mikate hiyo hivi sasa hulundikana kwa wingi katika matenga kadhaa,pichani ni matenga ya mikate ikiwa imekaa wazi bila ya kufunika ukizingatia kipindi hiki cha upepo na mvua zinazonyesha.

View attachment 78089

Boflo the original!
 
Unanitia hamu! Bado sijakutana ladha yake.
 
Ni gita du weshu, u Kin;gasti cha Ndai iwe...........kaje ...............................wa.....................
 
..............Ngekewa umesahau na UKALI kidogo...............waujua UKALI weye?
 
Back
Top Bottom