Boflo

Boflo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Wakazi wengi wa Visiwani Zanzibar wanapenda sana kutumia mikate ya Boflo kama ni chakula cha asubuhi,kutokana na kupanda bei kwa mikate hiyo hivi sasa hulundikana kwa wingi katika matenga kadhaa,pichani ni matenga ya mikate ikiwa imekaa wazi bila ya kufunika ukizingatia kipindi hiki cha upepo na mvua zinazonyesha.

download (7).jpg
 
wamepandisha bei wale wenyewe sasa
matenga yenyewe nayo ni masafi sana naona duh!!!
 
hapa umenitisha na lkuthibisha kweli wewe ni msafiri kafiri, je haina kachai?
 
duh, haya bhana kumbe nilitakiwa kusema tuwekee picha ya mikate ya Boflo.................
 
Back
Top Bottom