True watu bara hasa kutoka mbeya, arusha, iringa, njombe ukanda wa baridi tukiwapa mchezo wazenji hawatoki kwa kilio cha utamu sio hao wa pwani mdebwedo sana
Duh.!
Kumbe kuna vibabu humu vilivyoshiriki kupigania Uhuru?
Hongera sana Mzee kwa kutumia jf
ViPi lakini kimaisha umetoboa au bado unapambana?
Maana kwa umri huo taa ya oil imeshawaka
Duh.!
Kumbe kuna vibabu humu vilivyoshiriki kupigania Uhuru?
Hongera sana Mzee kwa kutumia jf
ViPi lakini kimaisha umetoboa au bado unapambana?
Maana kwa umri huo taa ya oil imeshawaka
Kweli kuna Binadamu na Viatu..., yaani unadhihaki wazee kwa kusifia ujana wako...., Hussein mkenaguzi Naombea huyu kiumbe msamaha kwa niaba ya kizazi chetu kama hii ndio product ya sasa kweli kuna sehemu tulikosea....
Duh.!
Kumbe kuna vibabu humu vilivyoshiriki kupigania Uhuru?
Hongera sana Mzee kwa kutumia jf
ViPi lakini kimaisha umetoboa au bado unapambana?
Maana kwa umri huo taa ya oil imeshawaka
haha kwan wewe hupendi vitamu?? mimi nikiendaga huko napendaga hizo bites zao huku nilipo ni gharama au nitengenezemwenyewe nikiwa na muda na n mara chache hufanya hivo lakini nikienda huko nafaidi kweli kweli
Haijikutokea fatilia utagundua hilo mimi ninaushahidi mbaka kesho yahee mmoja huwa hanisahau hata akisikia nimeenda zenji atatoroka tu masaa matatu napiga 6 we unafanya mchezo nini, mtoto full kuning'ata tu ππππ