niliwahi kuhudhuria harusi nikiwa zenj, yani nilipiga hivo vitu mpaka kifua kikafanya kiungalia kama kuwaka moto kabisa yani dah ilikua tafrani wakati wa kulala usiku.
Kuna katlesi, kababu, ekchop, kuna na moja wanaita tri angle kama hivi unaweza kujisahau ukafakamia.