Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Safari_ni_Safari, kwani wewe ni mgeni na Boflo? Boflo alienda hotelini akaagiza soda na pilipili kwa wingi, eti soda kavu haipandi.
Huyo jogoo nilimkamata na nimeshamchinja, sasa hivi yuko mbavuni.
Alikula chenga mwenyewe akatulia!.
Safari_ni_Safari, kwani wewe ni mgeni na Boflo? Boflo alienda hotelini akaagiza soda na pilipili kwa wingi, eti soda kavu haipandi.
raha tupu jf...