Ndege nyongeza haitakabidhiwa mpaka wakabidhi ndege nyingine 2020. Kiufupi mpaka wamalize order ndio utaratib mwingine ufikeNakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.
Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.
Wajinga ndio waliwao.
CC: Msemaji wa serikali.
Wewe kama hufanyi kazi hii kwa kulipwa, basi ni mjinga....!Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.
Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.
Wajinga ndio waliwao.
CC: Msemaji wa serikali.
Masuala ya uchaguzi yameshapita CCM imejishindisha kwa100% sasa tuko kitaifa zaidi, hiyo ndege ya nyongeza mliyoahidiwa umeshaiona?Hii ndio hali halisi ya wanachadema
Halafu mkishindwa uchaguzi mnalia tume,kumbe hamna ajenda nzito zaidi ya kebehi
Wewe ndio mjinga, siku zote muuliza maswali ni mwerevu na anatamani kuelewa.Wewe kama hufanyi kazi hii kwa kulipwa, basi ni mjinga....!
Hivi kuna watu mlioamini tutapewa ndege ya bure? itabidi Twaweza wafanye utafiti mwingine wa akili za watanzania.Ndege nyongeza haitakabidhiwa mpaka wakabidhi ndege nyingine 2020. Kiufupi mpaka wamalize order ndio utaratib mwingine ufike
Kwani wewe unalipwa sh ngapi.Wewe kama hufanyi kazi hii kwa kulipwa, basi ni mjinga....!
weka clipMasuala ya uchaguzi yameshapita CCM imejishindisha kwa100% sasa tuko kitaifa zaidi, hiyo ndege ya nyongeza mliyoahidiwa umeshaiona?
Hamjaacha uzushi tu?Ngoja tunyakuwe mbunge Mwingine
Siku hizi kunyakua mbunge siyo issue siasa tumeiachia CCM.Hamjaacha uzushi tu?Ngoja tunyakuwe mbunge Mwingine