Boeing 737-800 kwenye fleet ya RWANDAIR

Boeing 737-800 kwenye fleet ya RWANDAIR

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Rwandair imenunua kwa mkupuo ndege mbili za Boeing 737-800. Kila moja in auwezo wa kubeba abilia 174.


Shilika hili la usafili wa anga, limeonyesha kukua kwa kasi, na baada ya kujiunga na Qatar Airways, imeonekana lina uhitaji mkubwa wa ndege za ziada, kutokana na ongezeko la routes zake mpya.
 
Back
Top Bottom