Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa

Kila kukicha utasikia kauli za Wafuasi na viongozi wa Chadema wakisema maneno yasiyokuwa na ushahidi wala tija kwa Watanzania. MF, mara eti safari za rais zimeathiri uchumi,mara escrow, mara twiga wameuzwa, mara Slaa eti anataka kuuwawa, mara serikali inawaua wandishi wahabari ,je nikweli kuwa CDM ni Chama cha Majungu?

Initials speak volume....
 
Rais,Makam wake,jaji mkuu,katibu mkuu wa chama,rais wa zanzibar wote wanaenda kanisani
 
Kila kukicha utasikia kauli za Wafuasi na viongozi wa Chadema wakisema maneno yasiyokuwa na ushahidi wala tija kwa Watanzania. MF, mara eti safari za rais zimeathiri uchumi,mara escrow, mara twiga wameuzwa, mara Slaa eti anataka kuuwawa, mara serikali inawaua wandishi wahabari ,je nikweli kuwa CDM ni Chama cha Majungu?

Kwako wewe akiriyako inakwambia hayo yote niuongo?.Ccm haijatorosha twiga wetu?,Safari za jk sio nyingi na zisizo na tija?.Ccm hawauwani kama kwa Mwakyembe,Korimba,Kombe,Mwangosi,Mwenyekiti Wa Cdm Arumeru nawengi?.Ccm sio waraghai kwamba maisha bora kwa kila Mtanzania waliyotuahidi wametupa?.Tumia akiri ndugu kabla hauja post humu!
 
Kama kichwa cha habari kilivyo jamani naombeni kujua sakata la mlinzi wa slaa kupigwa na makada wa chama cha chaadema liliishia wapi? Tujuzane jamani
 
Kama kichwa cha habari kilivyo jamani naombeni kujua sakata la mlinzi wa slaa kupigwa na makada wa chama cha chaadema liliishia wapi? Tujuzane jamani
Waulize ccm wao ndy wana majibu kwani hyo kagenzi washamtelekeza
 
Hivi ni kwali Kagenzi aliyafanya haya? Je dr slaa anaamini kua Kagenzi alitumwa na ccm kumua?
 
Kwa nini kila jambo la huyu babu,yule mama wa katerero anahusika?mbona wake za watu wengine hawaingii ktk kashfa mbalimbali za waume zao???
 
Akiongea na Waandishi wa habari leo, Khalid Kagenzi ambaye alikuwa mlinzi binafsi wa Dk. Wilbroad Slaa,

Katika Jambo la kushangaza Mlinzi huyo amefichua mipango ya kitesaji na kigaidi inayofanya na CHADEMA huku akisema wameandaa ofisi ya utesaji.

"Jamani hiki chama ambacho kina ndoto ya kuchukua nchi leo kinaandaa mipango ya mauaji na utesaji kama walivyonifanyia? Maana wameniteka na kunifungia kwenye chumba cha utesaji wanachomiliki wao wamechoma visu na kuweka kwenye Mashine ya umeme bila kosa lolote, eti wakinishinikiza mimi nitaje wanaonituma, jamani nawaambia mimi hanitumi mtu" ameedelea kusema Kagenzi.

Aidha, Kagenzi amekitupia lawama chama hicho huku akisema kwenye mateso waliyomtesa yamemfanya apoteze hata nguvu za kiume
.
Kuna Kitu Nafuatilia kuhusu Red Brigades, it's activities, Ben Saanane and his roles in Chadema and the purported disappearance.

NB.Lengo sio kujenga conspiracy theory but trying to connect some dots.

Paskali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom