Kama mbunge anastahili! Dr. mchango wake utakumbukwa daima, mbinu za majambazi kumuingiza choo cha kike zilaaniwe milele
Mod naomba huyu jamaa anayejiita burn afungiwe. Kwa nini tunaruhusu watu wasiokuwa na akili sawasawa hapa jamvini. TUNAHITAJI WATU AMBAO WATATOA MAONI NA MICHANGO YAO KULETA MANUFAA KATIKA JAMII.Kama mbunge anastahili! Dr. mchango wake utakumbukwa daima, mbinu za majambazi kumuingiza choo cha kike zilaaniwe milele
We Mtu wa Pwani,Zitto alichangia nini?Yaani Zito haingii kwa Slaa hata robo.mm kama kustahiki naona zitto anafaa zaidi ila sijui kwa nn hawakumfikiria au kulikoni ?
mm kama kustahiki naona zitto anafaa zaidi ila sijui kwa nn hawakumfikiria au kulikoni ?
Bodi ya wakurugenzi wa LHRC,imethibitisha kuchaguliwa kwa Dr Wilbroad Peter Slaa kupata tuzo ya majimaji kwa kuwa Mbunge aliyetoa mchango mkubwa katika utawala bora na haki za binadamu 2005 - 2010.
Award itatolewa tarehe kumi December siku ya haki za binadamun chini.
Tuzo hii awali ilikuwa itolewe mwishoni mwa mwezi wa Tisa lakini nafikiri kutokana na uwoga wa watu wetu ambao bado hawajakomaa kinidhamu (wana nidhamu ya uwoga) wakaamua kuhairisha mpaka siku ya kesho.
Ndugu wana JF tulio na mapenzi mema labda kwa upande mwingine tunathamini mchango wa ndugu huyu nahisi tunaweza kushiriki maana siku hii inasherehekewa na watu wote.
QUOTE=mfarisayo;viva Dr.(PHD)
It's PhD not PHD. Husifanye kama wale wanaoandika PH scale badala ya pH scale.
QUOTE=mfarisayo;viva Dr.(PHD)
It's PhD not PHD. Husifanye kama wale wanaoandika PH scale badala ya pH scale.