Hauna tofauti na majengo yaliyochakaa ya bodi ya Pamba,akili yako imechoka,nafikiri unahitaji ovehauli,nasisitiza tena hii ni bodi iliyokosa ubunifu,kwa ahadi ya rais kuhusu vyama vya ushirika na bodi zake za mazao,ahadi za rais kwa wananchi hazitatimia kama kutakuwa na bodi za kikondoo kondoo,tunahitaji bodi iliyochangamka,ifanye Kazi kisasa kwa kutumia teknolojia mbalimbali za kisasa za mawasiliano zitakazowafanya wawasiliane na wakulima kirahisi,tunahitaji bodi yenye spidi kali kama ya magufuli sio wamekaa maofisini na kujaza mafaili ambayo hayana maana,hii bodi pamoja na bodi nyingine ni mzigo kwa kuleta pembejeo za hovyo hovyo zinazomtia hasara mkulima,bodi zimejaa watu ambao hawajui hata kulima bali ni wapiga maneno tuPamoja na kwamba mtoa hoja kawapamba bodi isivyostahiki na pengine kaamua tu kutoa hoja ili asikilize perception ya watu kuhusu bodi, bahati mbaya na wewe pia comments zako zinaonesha usivyojua kitu. Suala la bei kwa mfano mpaka uwaulize bodi, kwa hivyo bei ya petroli mpaka uwaulize ewura, shame on you. Kwamba soko kubwa la pamba duniani nalo mpaka uwaulize bodi (great thinker). Labda Kwenye issue ya kuvutia uwekezaji hapo unaweza kuwa na hoja, lakini kabla ya kuwalaumu tcb ulitakiwa uje na mifano ya taasisi ndogo kama tcb ambayo imevutia huo uwekezaji. Hili ni suala kubwa linalohitaji mkono wa serikali. Tcb walaumiwe kama hawajawahi kushauri chochote serikalini lakini vingine usichangie kitu usichokijua.
Nafikiri forum hii tuitumie kuelimishana baadhi ya mambo ambayo tuna fununu nayo. Nimesema kwa mwanzisha mada kwamba sifa alizotoa kwa bodi zimetiwa chumvi sana,lakini pia si sawa kuwapa lawana zisizo za kweli. Naomba nisaidie kama ifuatavyo:-Mleta mada unataka watu wakutukane? Bodi imesaidia kuleta mbegu mbaya kwa kushirikiana na waarabu na wahindi wenye jineri, bodi imewapa uhuru wahindi kutunga bei zao...Geite bei nyingine na Bariadi nao bei yao, bodi imeshiriki kuua Nyanza, Shirecu, Tarecu, Bodi imeruhusu wakulima kukopwa mazao na mpaka leo hawajalipwa, tafadhali mkuu fanya utani mwingine
Unaonekana hauelimishiki kirahisi. Rais akisema kitu usifikiri kinatekelezwa kwa mawazo ya upofu kama hayo yako. Jifunze kwanza bodi zinafanya kazi vipi, elewa majukumu yake kwa ndani halafu ndo uchangie.Hauna tofauti na majengo yaliyochakaa ya bodi ya Pamba,akili yako imechoka,nafikiri unahitaji ovehauli,nasisitiza tena hii ni bodi iliyokosa ubunifu,kwa ahadi ya rais kuhusu vyama vya ushirika na bodi zake za mazao,ahadi za rais kwa wananchi hazitatimia kama kutakuwa na bodi za kikondoo kondoo,tunahitaji bodi iliyochangamka,ifanye Kazi kisasa kwa kutumia teknolojia mbalimbali za kisasa za mawasiliano zitakazowafanya wawasiliane na wakulima kirahisi,tunahitaji bodi yenye spidi kali kama ya magufuli sio wamekaa maofisini na kujaza mafaili ambayo hayana maana,hii bodi pamoja na bodi nyingine ni mzigo kwa kuleta pembejeo za hovyo hovyo zinazomtia hasara mkulima,bodi zimejaa watu ambao hawajui hata kulima bali ni wapiga maneno tu
Bodi inayoruhusu wakulima kuuziwa mbegu zilizooza.basi wakulima hamjajitambuaSiku zote najiuliza iweje zao lilimwe Tanzania na kupelekwa nchi jirani kwa bei nzuri kwa mkulima lakini kwenye bodi zetu mkulima apate bei ndogo?
Wapi kuna tatizo?
Magufuli tumbua hilo kuwasaidia wakulima
Jipu lako liko kwenye ubongo,umegoma kubadilika wala kuiomba serikali ibadili sheria ya TCB lwa sababu inafaidika nayo,unajitoa kwenye kila jukumu ili wakulima wakueleweje?hayo uliyoandika hapo akiyasoma mkulima anakata tamaa na uwepo wa hiyo bodi parasite na kupe mkubwa,jitafakari kabla ya kuleta majibu ya kijuu juu,magufuli fumua hoi kitu haraka,Nafikiri forum hii tuitumie kuelimishana baadhi ya mambo ambayo tuna fununu nayo. Nimesema kwa mwanzisha mada kwamba sifa alizotoa kwa bodi zimetiwa chumvi sana,lakini pia si sawa kuwapa lawana zisizo za kweli. Naomba nisaidie kama ifuatavyo:-
1) Katika nchi yetu bado hatujaweza kuwa na mfumo maalumu wa kuwa na mbegu bora hasa kwa mazao yote makuu, matumizi ya mbegu bora nchini ni chini ya 20%. Bodi siyo wataalamu wa mbegu na wala hawazalishi mbegu na si jukumu lao kwa mjibu wa sheria za pamba. Wanachofanya bodi ni kumtafuta yeyote mwenye mbegu zozote (recycled seeds) awe mzungu, mhindi, mwarabu, mkurya, msukuma, mmakonde ama yeyote apeleke mbegu kwa wakulima. Ni wajibu wa wadau wote kwa pamoja kuhakikisha kwamba mfumo bora wa mbegu unatafutwa.
2) Kuhusu bei: Serikali ya TZ haina power ya kupanga bei, wanaopanga bei ni watumiaji wakuu wa pamba ambao pia ndo wazalisha wakuu wa pamba (market share ya TZ ni below 1% kwenye world market). Serikali inachofanya kwa kushirikiana na wadau wote wakiwamo wawakilishi wa wakulima ni kufanya translation ya bei iliyoko sokoni Newyork na kuibadirisha kwa pesa zetu na ndo anayopewa mkulima baada ya kutoa gharama zinazohusika. Bei inayotangazwa na serikali ni elekezi kwamba hakuna mnunuzi anaruhusiwa kushuka chini ya hapo lakini kupanda juu ni ruksa. Kwamba geita bei iko chini kuliko bariadi hilo pengine siwezi kulisemea lakini naona lingekuwa kosa la bodi kama bei ya geita ni chini ya bei elekezi. Lakini vinginevyo ni masuala ya uhuria.
3) Wakulima kukopwa: Ushirika ulipoanza kuteteleka na hatimaye kufa katika baadhi ya mikoa ulikufa na pesa ya wakulima. Kama hoja zako si za makusudi nakuomba utenge muda kidogo ili ufanye utafiti ili ujue ni nani kakopa wakulima kati ya ushirika na hao binafsi. Kwa uhakika waliokopa wakulima na hawajalipa hadi leo ni ushirika.
4) Bodi kuua ushirika: mie sidhani kama hili ni la kweli, labda tuseme mfumo ndo umeua ushirika (soko huria). Kama zilivyo taasisi zingine za serikali zilizokufa NIC, THB, POSTA, TRC etc, ushirika nao ulikuwa umeanza kuteteleka hata kabla ya soko huria. Bodi kwa mjibu wa sheria ni Regulatory body na kwa hivyo kanuni zinazotumiwa kwa private co. ndo hizo hizo zinatumiwa kwa ushirika. Tatizo liko wapi?
Naweza kuwa siko sahihi sana lakini hizo lawama zako kwa Tcb hazina ukweli wowote.
Mambo ya ajabu kabisaBodi inayoruhusu wakulima kuuziwa mbegu zilizooza.basi wakulima hamjajitambua
Kwa kuwauzia wakulima mbegu zisizoota na hawalalamikiya kuigwa Duniani? Duuh kwa yapi hasa?
Ni haki yao kabisa, mkulima anahangaika kulima pamba tena kwa gharama kubwa halafu utasikia bei iliyo pangwa ni ya kishenzi kabisa. Halafu linakuja swala la kukopwa halafu halipwi.Wakulima wanakimbia kulima zao la pamba kwa sasa,wanahamia katika kilimo cha alizeti,ufuta.Bei ya pamba ni hovyo kabisa
Jaribu kufanya kama nilivyokuelekeza baada ya muda utaelewa.Jipu lako liko kwenye ubongo,umegoma kubadilika wala kuiomba serikali ibadili sheria ya TCB lwa sababu inafaidika nayo,unajitoa kwenye kila jukumu ili wakulima wakueleweje?hayo uliyoandika hapo akiyasoma mkulima anakata tamaa na uwepo wa hiyo bodi parasite na kupe mkubwa,jitafakari kabla ya kuleta majibu ya kijuu juu,magufuli fumua hoi kitu haraka,
Mkulima anaandaa Shamba kwa gharama kubwa kwa matrekta,vibarua,halafu anapewa mbegu ambazo hazioti,anasubiri were hakuna mmea unaoota,anayesimamia zao hajawahi kutoa kauli,anakata tozo tuNi haki yao kabisa, mkulima anahangaika kulima pamba tena kwa gharama kubwa halafu utasikia bei iliyo pangwa ni ya kishenzi kabisa. Halafu linakuja swala la kukopwa halafu halipwi.
bodi za mazao zilikuwa nyenzo za wakoloni kutunyonya. baada ya uhuru bado zinaendelea kufanya hivyo.Siku zote najiuliza iweje zao lilimwe Tanzania na kupelekwa nchi jirani kwa bei nzuri kwa mkulima lakini kwenye bodi zetu mkulima apate bei ndogo?
Wapi kuna tatizo?
Magufuli tumbua hilo kuwasaidia wakulima
Bodi hazina faida hata kidogo. Wamekuwa makupe kuwanyonya wakulima. Zifutwe ili kuunda vyombo vidogo ndani ya wizara husika kuwasaidia wakulima. Hela za wakulima ndiyo zinaendesha bodi.bodi za mazao zilikuwa nyenzo za wakoloni kutunyonya. baada ya uhuru bado zinaendelea kufanya hivyo.
Kweli kabisaBodi hazina faida hata kidogo. Wamekuwa makupe kuwanyonya wakulima. Zifutwe ili kuunda vyombo vidogo ndani ya wizara husika kuwasaidia wakulima. Hela za wakulima ndiyo zinaendesha bodi.