Bodi ya mkopo naona ipo serious

Wana jamvi naomba msaada mm nimesahau password ya olas sasa hiyo dodoso najaza vipi ama naweza kuzipata ivyo password mwenye uelewa pls I need help for that
 
Kwanii hiii ndo dodoso yenyewe kwa ajili ya continuous students au ya wanao appeal tuuu
 
Hizi hapa ni baadhi ya sehemu
 

Attachments

  • IMG-20161031-WA0017.jpg
    71.4 KB · Views: 53
  • IMG-20161031-WA0016.jpg
    78.4 KB · Views: 57
  • IMG-20161031-WA0015.jpg
    90.3 KB · Views: 55
Haya log in as regesterd user uone watakuletea nini kama sio hicho mdau alichoweka.
soma vizuri kwenye welcome message utakutana na appeal uki click kwenye appeal wanakuleta kwenye login as registered user labda tu mm sielewi hapo au naww pia unaweza jaribu uone maana inaonekana kama ni kwaajili ya 2016/2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…