Bodi ya mkopo naona ipo serious

Bodi ya mkopo naona ipo serious

Wana jamvi naomba msaada mm nimesahau password ya olas sasa hiyo dodoso najaza vipi ama naweza kuzipata ivyo password mwenye uelewa pls I need help for that
 
Huwezi kuliona maana wahuni fulani wanafanyakazi ya kugombanisha serikali yetu tukufu na wananchi kwa kusambaza taarifa za uongo
6702d792ddb836dd33ac970e61101667.jpg


Na Hii ni Wahuni Au
 
Kwanii hiii ndo dodoso yenyewe kwa ajili ya continuous students au ya wanao appeal tuuu
 
Hizi hapa ni baadhi ya sehemu
 

Attachments

  • IMG-20161031-WA0017.jpg
    IMG-20161031-WA0017.jpg
    71.4 KB · Views: 43
  • IMG-20161031-WA0016.jpg
    IMG-20161031-WA0016.jpg
    78.4 KB · Views: 48
  • IMG-20161031-WA0015.jpg
    IMG-20161031-WA0015.jpg
    90.3 KB · Views: 45
Haya log in as regesterd user uone watakuletea nini kama sio hicho mdau alichoweka.
soma vizuri kwenye welcome message utakutana na appeal uki click kwenye appeal wanakuleta kwenye login as registered user labda tu mm sielewi hapo au naww pia unaweza jaribu uone maana inaonekana kama ni kwaajili ya 2016/2017
 
Back
Top Bottom