Wazazi ndio wanasoma au watoto?
Ukishafika chuo umri unakuwa ushakuwa wa utu uzima, hapo sio watoto tena ni jukumu lako mwenyewe kujisomesha, na hata kama umri sio kigezo bado mhusika ni anaesoma yaani mtoto, wazazi wapewe mkopo wanafanyia nini kama ndivyo, hata kuanzia watoto chekechea inabidi wazazi wakopeshwe ada na serikali!