Bodi ya mikopo

Bodi ya mikopo

Peacehand

Member
Joined
Mar 24, 2024
Posts
31
Reaction score
30
Havi bodi ya mikopo human wanawakopesha wazazi au watoto. Kwa maoni yangu wazazi ndio wanakopeshwa maana ni wao walitakiwa kuwagharimia watoto wao.

Niishauri serikali itafuta namna ya kuwadai wazazi fedha hizo na sio watoto kama wanavyofanya sasa ivi
 
Wazazi ndio wanasoma au watoto?

Ukishafika chuo umri unakuwa ushakuwa wa utu uzima, hapo sio watoto tena ni jukumu lako mwenyewe kujisomesha, na hata kama umri sio kigezo bado mhusika ni anaesoma yaani mtoto, wazazi wapewe mkopo wanafanyia nini kama ndivyo, hata kuanzia watoto chekechea inabidi wazazi wakopeshwe ada na serikali!
 
Ukishavuka miaka 18 we siyo mtoto unatakiwa ujigharamie
 
Msomeshwe hadi vyuo vikuu halafu muanze kuwadharau baba zenu na kutukuza mama zenu eti nani km mama. Ngoja msote, na hapo bado. Ukitaka kujua uchungu wa boom maliza chuo urudi uraiani upate kikazi cha mshahara wa kukusaidia kupuma tu halafu bodi wakuingilie na kenyewe kafyekwe 15%. Lazima ujiuze 😂😂
 
Msomeshee hadi vyuo vikuu halafu muanze kiwadharau baba zenu na kutukuza mama zenu eti nani km mama. Ngoja msote, na hapo bado. Ukitaka kujua uchungu wa boom maliza urudi uraiani upate kizazi cha mishahara wa kukusaidia kutumia halafu bodi wakuingilie na kenyewe kafyekwe 15%. Lazima ujiuze 😂😂
😂😂😂😂😂
 
Msomeshwe hadi vyuo vikuu halafu muanze kuwadharau baba zenu na kutukuza mama zenu eti nani km mama. Ngoja msote, na hapo bado. Ukitaka kujua uchungu wa boom maliza chuo urudi uraiani upate kizazi cha mshahara wa kukusaidia kupuma tu halafu bodi wakuingilie na kenyewe kafyekwe 15%. Lazima ujiuze 😂😂
Usipowaambia kama ulikopeshwa kuna ubaya gani kiongoz?
 
Back
Top Bottom