<br />huwa wanatoa kwa wote provided umeomba na umefikia vigezo
<br />Eti jama hata kama unaxoma chuo cha private unapata mkopo?
mkuu hapa na shaka mbona waliandika kwenye link yao kuwa ni mtu yeyote anaeingia chuo au aliyeko chuo sasa mkuu mbona hazina uhakika wowote habari zako..."nimeangalia habari ya chanel ten leo wanasema mwaka huu watawapa mikopo wanaotoka shule moja kwa moja tu