- Thread starter
- #41
wengine wanamshamba mkulanga ya watumishi wa bodi wanafanya kufuru ya hali ya juu sanaHii bodi ya Mikopo ni kichaka cha ufisadi, Jamaa wanapiga kinoma
Sent using Jamii Forums mobile app
wengine wanamshamba mkulanga ya watumishi wa bodi wanafanya kufuru ya hali ya juu sanaHii bodi ya Mikopo ni kichaka cha ufisadi, Jamaa wanapiga kinoma
wanaojua watuambie penalt i a muda ganiivi penalt huwa inaanza baada ya mda gani pindi mtu amalizapo chuo na huwa ni sh ngapi? na je huwa inaongezeka au huwa ni fixed?
Unaelewa maana ya neno "tukufu"?nakuhakishia hii serikali ina watu wanaomchafua rais na serikali yake tukufu atakuja ajionee mwenyewe na muda umefika.kila mtu ni mbabe tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Una namba za manengelo ?Wapendwa kumekuwa na watumishi wa serikali wanaolipa fedha kulipa madeni ya bodi kwa mkupuo,lakini pia wanacheleweshwa kuondolewa kwenye makato kwa makusudi na bodi kuendelea kukata fedha kwenye mshahara.
Mtumishi anapodai fedha iliyozidi inachukua siku tisi au zaidi kurejeshewa na pengine hazirejeshwi kabisa, huu ni ufisadi wa hali ya juu sana,pengine watumishi mmetuona shamba la bibi.
kama tunapochelewa kulipa deni lenu fedha yenu huwa na liba ,vip kwa huyu mtumishi ambae anasubiri kurejeshewa fedha zao zilizozidi wakati wa kulipa deni lenu ili wengine nao wanufaike kwa muda wa zaidi ya siku tisini mtampa Riba?
Mh Waziri Mkuu hapa kuna ufisadi mkubwa sana, mtu anadai laki mbili ambayo ni sawa na tofari mia mbili(200),watumishi wako wa bodi wanashindwa kusaini vocha ya malipo huu ni uhuni mkubwa,haya mambo sijui mtawajibu nini wananchi wanyonge kama watumishi hawa, wakati huo mnajinasibu ni nchi ya viwanda huku watumishi wako hawana haraka na viwanda haya mambo yanaumiza sana,
naomba kwasilisha kwa katibu mkuu wizara ya utumishi wa umma,tamisemi,na katibu mkuu wa elimu na mawaziri mnaohusika ,waambieni watumishi wa bodi wasionee watu,tulikubali kuongezewa asilimia ,tunawalipa mnataka tena kuleta mizengwe no !lipeni fedha zetu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii awamu ni balaa watu wanapiga sana.wengine wanamshamba mkulanga ya watumishi wa bodi wanafanya kufuru ya hali ya juu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafisadi kibao yanamzunguka!!! Ukitaka uvurugwe hata nyumbani kwako, jitie mkali kwa kila jambo kwenye familia yako. Wataletwa hata panya kutoka mbali wazaane kwenye sanduku lako la suti,siku ya mtoko unakuta suti vipandevipande.nakuhakishia hii serikali ina watu wanaomchafua rais na serikali yake tukufu atakuja ajionee mwenyewe na muda umefika.kila mtu ni mbabe tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa wenye asili ya ukoo uleeee...Hii awamu ni balaa watu wanapiga sana.
umesema kwel ndani kwangu panya hawaishi hadi sofa limeisha,hatariMafisadi kibao yanamzunguka!!! Ukitaka uvurugwe hata nyumbani kwako, jitie mkali kwa kila jambo kwenye familia yako. Wataletwa hata panya kutoka mbali wazaane kwenye sanduku lako la suti,siku ya mtoko unakuta suti vipandevipande.
Kwakweli hili nsunga mkono! Serikari hii inawachonganisha watumishi na serikari.nakuhakishia hii serikali ina watu wanaomchafua rais na serikali yake tukufu atakuja ajionee mwenyewe na muda umefika.kila mtu ni mbabe tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dada ana connection za kitaa kama zote yani. Kazi kwako
Tulieni mnyonyolewe kunguni nyieWapendwa kumekuwa na watumishi wa serikali wanaolipa fedha kulipa madeni ya bodi kwa mkupuo,lakini pia wanacheleweshwa kuondolewa kwenye makato kwa makusudi na bodi kuendelea kukata fedha kwenye mshahara.