Bodi ya Mikopo yatesa watumishi wa Serikali

Bodi ya Mikopo yatesa watumishi wa Serikali

Halafu kuna hali imejitokeza watu walishakatwa zamani wakamaliza deni miaka ya nyuma lakini gafla anaanza kukatwa tena [emoji87][emoji87][emoji87]

Bodi kuweni makini ktk kukata pesa za watu !

Taratibu jamani haya ......[emoji443][emoji440][emoji448]

Sent using Jamii Forums mobile app
Puuuzi sana hawa watu
 
Pia ukimaliza kulipa!bodi wanaongeza deni eti riba mpya!!!jamaa yangu hapa kaongezewa milion tatu baada ya kumaliza deni lake la awali!!!!Bodi wasenge sana hawa!!!
shenzi sana hawa bodi.
 
Mtu mwenyewe unajiita mnyonge, unajiliza liza na kuonesha udhaifu kwanini usifanywe punching bag na hao takataka.
 
Serikali ya wanyonge ifike mahali iwafutie madeni yote ya bodi ya mikopo.Itoe fedha za kuwasomesha raia wake
 
Hao bodi wameanzishwa kukandamiza elimu ya wanyonge, kijana maskini wa kitanzania anaanza kazi na kamshahara kadogo wanamrundikia deni hadi mil.35 unaambiwa kuna penati, na wenyewe wanaona wanafanya jambo la maana kabisa, hii nchi ni shida sana....
 
Kuna huu ujinga "RETENTION FEE" ni million 2 flat rate ukiuliza wanamkwambia eti gharama ya kukutafuta 😁😁 ukiwambia miye mbona mmenza nikata kwa wakati wanakosa majibu kama ni email hawajibu tena kama ni sm hawapoke
 
Hao bodi wameanzishwa kukandamiza elimu ya wanyonge, kijana maskini wa kitanzania anaanza kazi na kamshahara kadogo wanamrundikia deni hadi mil.35 unaambiwa kuna penati, na wenyewe wanaona wanafanya jambo la maana kabisa, hii nchi ni shida sana....
milion 35 hadi unastaafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna huu ujinga "RETENTION FEE" ni million 2 flat rate ukiuliza wanamkwambia eti gharama ya kukutafuta [emoji16][emoji16] ukiwambia miye mbona mmenza nikata kwa wakati wanakosa majibu kama ni email hawajibu tena kama ni sm hawapoke
hata mm nimeanza kulipa mienzi 3 baada ya kuajiliwa lakina retenzion fees ni flat hii inauma,watoe ufafanuzi litension fees inalipwa baada ya muda gani hujaanza kurejesha haya madeni yao ni wizi mkubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli watumishi wa serikali ni watu wakuonewa huruma, wamenyanyisika na kuteseka vya kutosha. Watumishi wa serikali hawatakuja kuisahau awamu ya tano kwa machugu haya.
 
ivi penalt huwa inaanza baada ya mda gani pindi mtu amalizapo chuo na huwa ni sh ngapi? na je huwa inaongezeka au huwa ni fixed?
 
Kwa kweli watumishi wa serikali ni watu wakuonewa huruma, wamenyanyisika na kuteseka vya kutosha. Watumishi wa serikali hawatakuja kuisahau awamu ya tano kwa machugu haya.
atakae sahau ni yule ajaingia kwenye hii system ya kijinga sana na mungu yupo anamuona huyu mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom