Nimemuona mkurugenzi wa bodi ya mikopo kupitia taarifa ya habari Chanel 10 akitangaza idadi ya wanafunzi ambao wamewapa mkopo na kusisitiza wanafunzi watembelee websit ya bodi ili waone % zao walizopata.bt binafsi nimeingia kwenye websit ya bodi sijaona kitu.Nadhani watakuwa wanarekebisha kitu flan.
Nadhsni uliyeleta hii thread ni msomi na ndio maana unafuatilia mambo ya loan board. Ebu angalia hiyo heading. BRECKING NEWZ ndio nini?
ts 2ruuuuuuuuuuuuuuuuuu
Idadi ya waliopata ni 33,050. Idadi imeongezeka ukilinganisha na mwaka jana, vigezo walivyotumia zile priority, yatima, single parent, walemavu mzazi au mwanafunzi, direct from form 6, na shule ulizosoma. Pia kwa takwimu idadi ya wavulana waliopata ni asilimia 60 na wasichana ni 40. Ahsanteni nadhani kesho mambo hadharani.
lala tu ndugu,utaona hata kesho,yapo tu