NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 590
piga chini bro
:banplease:
piga chini bro
Kulala lazima umesema wewe!! pia kukesha mimi kwangu sio jambo la kushangaza ni kawaida tu, sa ka vp lala tu mkuu
yeraaah !! Leo nakesha kama POPO
Nimemuona mkurugenzi wa bodi ya mikopo kupitia taarifa ya habari Chanel 10 akitangaza idadi ya wanafunzi ambao wamewapa mkopo na kusisitiza wanafunzi watembelee websit ya bodi ili waone % zao walizopata.bt binafsi nimeingia kwenye websit ya bodi sijaona kitu.Nadhani watakuwa wanarekebisha kitu flan.
Mkuu utaniua kwa presha,hilo la IFM umelipata wapi tena
Kama kawaida ni mwendo wa ku refresh page tu, hata iwe mpaka kesho jioni ntafika tu hamna shida
Idadi ya waliopata ni 33,050. Idadi imeongezeka ukilinganisha na mwaka jana, vigezo walivyotumia zile priority, yatima, single parent, walemavu mzazi au mwanafunzi, direct from form 6, na shule ulizosoma. Pia kwa takwimu idadi ya wavulana waliopata ni asilimia 60 na wasichana ni 40. Ahsanteni nadhani kesho mambo hadharani.
jamani NingaR,ze dudu nk mkeshe ila wakiweka tu na nyie myatupie humu. Mi game ikisha huku bernabeu nalala,nikiamka asubuhi break ya kwanza jf.
hujawah kubak nyuma mkuu!