Tetesi: Bodi ya mikopo yakana kutoa pesa kwa watu wenye uhiitaji maalum.

kabwekasoma

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
260
153
Bodi ya mikopo ya elimu leo imekana taarifa kwamba itatoa mikopo kwa wanafunzi waloobaki yaani 5000. Kutokana na ukata unaiokabili kutokana serikali kushindwa kupeleka fedha kwa ajili ya upangaji wa mikopo. Hii imesababishwa na vipaumbele vya serikali ya sasa ambavyo ni viwanda na na elimu bure mpaka form four na sio chuo kikuu. Hivyo msemaji alidai serikali inaukata wa fedha hivyo wanategemea wanafunzi watakao appeal wafanye hivyo kwani mapato yatakayopatikana kama fees (66850×10000=668,500,000) yanaweza yakasaidia angalau kudhamini wanafunzi hata 200. Ili kupunguza malalamiko mengi ya wanafunzi.alisisitiza wanafunzi kuapil hata wale waliopata iliwaweze kuwasadia wenzao. Lakini mnyetishaji alisema kama mbinu hiyo itashindikana basi tunaweza tukaanalia utaratibu wa harambe.
 
hapa hakuna kuapil wala may.
Kama hela hamna n hamna tu, wasitudanganye labda mzee said Salim bakheresa ajitolee.
Yan niwachangie wengne alaf nikose tena
Wafanye iyo harambe na waihite "tetemeko la mkopo "
Watu wachangie Kama la bukoba
 
hizi habari zingine sijui mnazitoaga wapi, mbona jf inapoteza mvuto ivi!! sijui kina nani wameivamia jf, kuna nyuzi za kuzusha, coment za matusi, watu hawana hoja wanachangia tu, mods msipokua makini na kuendelea kuyaachia haya Jamii forums itapoteza heshima yake iliyokuanayo na ambayo iponayo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom