Kijiji?Wanafunzi kuanza kuisoma number....
Yaani ni uzembe wa makusudi kabisa....au kama serikali haina pesa waseme tu sio kuwatesa ndugu zetuKuibadiri style ya ufanyaji kazi wa wafanyakazi wengi wa serikali ni KAZI sana? Hivi hizi diary wanatembeaga nazo za nini? Kwahiyo hao wanafunzi wale nini sasa kama wao siku ya deadline ndio wanaanza michakato? Halafu utakuta board inaongozwa na wasomi kweli kweli, najiulizaga sana hivi elimu yetu hua inatusaidia tu kupata KAZI au kufanya KAZI!? Acha tu kina David Trum watutukane, kimsingi yale hua sio matusi bali wanatwambia UKWELI. Hao wanafunzi wakiandamana utawaona FFU wanavyo onesha jinsi gani wanajua kutumia bunduki.