Bodi ya mikopo wana lao jambo

Kauzu B

Member
Aug 26, 2011
15
1
Wanachuo mkijaribu kuangalia website ya bodi ya mikopo ,wametoa vijisababu vingine za watu kukosa mkopo, ili kupata huo mkopo wanatakiwa kurekebisha hayo makosa na ukifuatilia wengi wao ni watu wa education ,science na engineering.je? Kuna ukweli wowote wanaposema budget exaustion while baadhi ya faculty there is no budget exaustion. Bodi imetudhihirishia kwamba pesa zipo ila hawajaamua kuzitoa , so they want us to use alternative approach "togather we can"
 

mapain

Member
Aug 9, 2011
8
2
bodi kama mchezo wa kamari why walio apply na diploma..kwenda degree n wanavigezo wawatose eti pay hamna n wamelamba ela ya ya application form..wizi mtupu...........
 

Zidy

Member
Oct 5, 2011
29
4
Nasikia waliokosa mkopo jumatatu wanaelekea wizara ya elimu..kwa anaye jua hiyo ishu anitaarifu fresh ili sisi wa mikoani tuje huko
 

Kebara

Member
Oct 2, 2011
9
1
Wauaji wakubwa! Wamenibania mkopo, wakat kaul mbiu ni 'mkoto kwa wahitaji." mi naona kawambwa kaz imemshinda ni bora apelekwe utamadun. Na kaul zake za ajabu et kusoma univ ni jukumu la mzaz na si selikari" mbona wao wamesoma bure! C ndo wametuwekea masharti!
 

Rajo

Member
Sep 26, 2011
21
1
Yaan unavowataja bod moyon unankereketa vby mno!,swal la mcng n kua hzo hela wameztoa wap huku walsema pesa zmekwisha kama sio utan wanaoufanya,ngoja 2waache wafanye wanalolijua!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom