Mr Chawa Member Joined Oct 25, 2018 Posts 57 Reaction score 11 Nov 3, 2018 #61 Hata Mimi nafkr Maana huwez toa jina la mtu then useme Huna vigezo Waseme tuifanye iwe beko kwamba nayo ni bahati nasibu
Hata Mimi nafkr Maana huwez toa jina la mtu then useme Huna vigezo Waseme tuifanye iwe beko kwamba nayo ni bahati nasibu
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 14,189 Reaction score 19,113 Nov 3, 2018 #62 war boi lupa said: Kulipiwa ada elfu 70 sio kitu cha ajabu ndo maana kuna asilimia za mkopo Click to expand... Hujui unachokisema. Mtu unalipiwa sh 70,000/= kati ya 3,000,000/= halafu unasema ni sawa!
war boi lupa said: Kulipiwa ada elfu 70 sio kitu cha ajabu ndo maana kuna asilimia za mkopo Click to expand... Hujui unachokisema. Mtu unalipiwa sh 70,000/= kati ya 3,000,000/= halafu unasema ni sawa!
Mr Chawa Member Joined Oct 25, 2018 Posts 57 Reaction score 11 Nov 4, 2018 #63 Raisi anafanya kazi yake tena vyema kabsa bas tu binadamu mtenda jema lazma awepo tu middle man wakuliharibu.
Raisi anafanya kazi yake tena vyema kabsa bas tu binadamu mtenda jema lazma awepo tu middle man wakuliharibu.