- Thread starter
- #21
We unajikuta siyo first lakini hakuna la maanq unaloandika
Muhenga huyo haelewi kinacho endelea
We unajikuta siyo first lakini hakuna la maanq unaloandika
Kulipiwa ada elfu 70 sio kitu cha ajabu ndo maana kuna asilimia za mkopo
We unasaligi?ita fika hatua tuta fanya ivyo au tuna enda kulala pale geti la heslb
Ndoto ya mchanaNdani ya miaka kumi ijayo hii body ya mikopo itakuwa kama kijiwe cha kahawa tu,wazazi mnapokuwa mnawatafutia wanenu Ada watafutieni Hadi za chuo,taratibu taratibu ishu ya mikopo inakufa,mikopo ilikuwaga enzi hizo watu walijenga Hadi ma bangalow sio leo
Mm yupo nlyemshuhudia kaomba sua tu ila Majina yaltoka first batch cha ajab no jina suahakuna majina hewa kutoka bodi ya mkopo ila wewe ambae ulienda chuoni na hukukuta jina lako halipo jichunguze vizuri ulikubaliwa na vyuo vingapi na kipi kilikua cha kwanza kukuchukua? maana kuna watu awamu ya kwanza walichaguliwa chuo kimoja lakini wao waliomba kiubishi mara ya pili na wakakubaliwa chuo kingine tofauti na cha mwanzo . hivyo watu kama hawa mkopo wao hutumwa kwenye chuo cha kwanza lakini wao utakuta wamejiendea chuo cha awamu ya pili kwaajili ya kufuata course fulani ambacho mkopo wao haujatumwa huko. ILA MSIJALI CHAMSINGI NENDENI MAKAO MAKUU ILI WAWAHAMISHIENI MIKOPO YENU KWENYE VYUO HUSIKA MLIVYOPO.
Ndoto ya mchana
Eti bodi ishindwe kutoa mikopo hyo in ndoto za alnacha shuwainiiiWe umelala mi nimeshaamka so endelea kuota
Eti bodi ishindwe kutoa mikopo hyo in ndoto za alnacha shuwainiii
Duh hadi unamtusi mama kweli una hasira kwa ukweli huo haya ahsanteShwaini mama yako aliyekuzaa umechelewa usiyejua hata historia inaendaje,hujui hata of atu wa zamani walikuwa wanapataje mkopo ukitofautisha na leo,alafu unaonekana umezaliwa juzi tu we bwege
Duh hadi unamtusi mama kweli una hasira kwa ukweli huo haya ahsante
Mungu akubariki kwa kumtukana mama yangu wakati battle ni Mimi na weweUmeanza kunitusi wala sijakikosea kitu,sikukuomba unijibu shit,unaniita shwaini unanijua? Nikaona unaonekana unayajua matusi sio mstaarabu ungekuwa mstaarabu ungeniomba nikufafanulie kwa nn bodi ya mikopo badae itakuja kushindwa kulipa kabisa hata hyo mikopo,nashangaa unaanza kunitusi
Mungu akubariki kwa kumtukana mama yangu wakati battle ni Mimi na wewe
Poleni sana, Usomaji kwenye awamu hii ni shida!
We unasaligi?
Dogo mkopo haudaiwi kwa mapanga