- Thread starter
- #41
Ndani ya miaka kumi ijayo hii body ya mikopo itakuwa kama kijiwe cha kahawa tu,wazazi mnapokuwa mnawatafutia wanenu Ada watafutieni Hadi za chuo,taratibu taratibu ishu ya mikopo inakufa,mikopo ilikuwaga enzi hizo watu walijenga Hadi ma bangalow sio leo
Hoja na huu msuguano ni UDSM tu wadau kama Kuna wakutetea Aseme
Mkuu unabishana na vitoto vya first year! Unapoteza muda wako tu kama anajiona anaelewa kila kitu wa nini...achana nae utoto unamsumbua...na yeye anajiona yuko level za degree kumbe hajui ata degree inapatikanaje...calm down broo mwache kwanza akueAmina,na wewe Mungu Akubariki kwa kuwa na mdomo mchafu hata kama hujakosewa
Mkuu unabishana na vitoto vya first year! Unapoteza muda wako tu kama anajiona anaelewa kila kitu wa nini...achana nae utoto unamsumbua...na yeye anajiona yuko level za degree kumbe hajui ata degree inapatikanaje...calm down broo mwache kwanza akue
Mpaka nauliza hivyo ujue nmeonauna changamoto nyingi sanaNa mashaka na ww
Sasavunataka kuniambia kuwa serikali imeshindwa kutoa mikopo?hata mh rais alisema kuna wasomi lakin wapumbavu pia we we ni nani mpaka usikanywe ukipotosha watuMkuu unabishana na vitoto vya first year! Unapoteza muda wako tu kama anajiona anaelewa kila kitu wa nini...achana nae utoto unamsumbua...na yeye anajiona yuko level za degree kumbe hajui ata degree inapatikanaje...calm down broo mwache kwanza akue
Na mashaka kafanyaje sasa yani kuandika Nina mashaka umeona uvivu auNa mashaka na ww
Kweli mkuu,1st yr wa mwakani itabidi wawe pata darasa kuhusu mikopo preparation ni muhimu
Mkuu unabishana na vitoto vya first year! Unapoteza muda wako tu kama anajiona anaelewa kila kitu wa nini...achana nae utoto unamsumbua...na yeye anajiona yuko level za degree kumbe hajui ata degree inapatikanaje...calm down broo mwache kwanza akue
raisSasavunataka kuniambia kuwa serikali imeshindwa kutoa mikopo?hata mh rais alisema kuna wasomi lakin wapumbavu pia we we ni nani mpaka usikanywe ukipotosha watu

Yeah, ukijifanya mkamilifu na mjuaji sana hakikisha haukosei.over
Kuwa mpole nao pia ni watu wanakoseaaMara nyingi anayeitetea bodi hii simuelewi. mapungufu ni mengi sana.
3rd batch Vip