Bodi ya mikopo ni shida tu

Bodi ya mikopo ni shida tu

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Habari Jf,kuna kitu nime sikia kwa baazi ya watu wangu wa karibu wakilia kuhusu izo allocation za mikopo,katika batch ya kwanza walio otoa wali toa na idadi ya watu watakao pata io mikopo lakini uki fika chuo jina huli kuti na uki uliza kwanini una ambiwa huna vigezo vya kupata,sasa hii ni danganya toto wanao ifanya bodi ya mikopo kwa kutoa idadi isio sahihi kwa wanufaika wa mikopo huku umma uki amini idadi iliyo tolewa ni ya kweli
 
Tatizo la festi yia ndo hili sasa

Mwanzoni mlitangaziwa idadi ya watu wote waliopata mkopo...wakatoa batch 1 ya waliopata...wakaja tena wakatoa batch 2...mkaambiwa subirini batch nyingine zinakuja...batch huwa zinafika ata zaidi ya nne...idadi ya watu waliopata mkopo ambayo ilitolewa awali itatimia tu lkn hawatoi yote kwa mkupuo wanatoa kwa batch au makundi makundi...

Kama jina lako lishatoka utalikuta chuoni kama bado subiri batch zinazokuja co kusikiliza stori za mtaani tu sana sana mnaishia kudanganyana kama hv

Acheni akili za kisekondari mshakuwa wanachuo saiv

Mkuu unacho ongea una weza kuwa sawa lakini kwanini watoe jina katika batch ya kwanza ila uki enda chuo una ambiwa jina halipo,na jata ivyo sioni maana ya kumlipia mtu ada elfu70 afu usi mpe hela ya meal&accomodation
 
kiongozi naona hujui ata kinachoendelea.

ni ivi:

jina limetoka batch ya kwanza lakini saivi unaambiwa baada ya kuhakiki tena wamegundua huna vigezo vya kupata mkopo.
so hakuna cha batch sijui ngapi wala ngapi hapo mkuu.
swali ni kwanini watoe majina bila kujiridhisha kama mtu ana vigezo????

We unajikuta siyo first lakini hakuna la maanq unaloandika
 
Mkuu unacho ongea una weza kuwa sawa lakini kwanini watoe jina katika batch ya kwanza ila uki enda chuo una ambiwa jina halipo,na jata ivyo sioni maana ya kumlipia mtu ada elfu70 afu usi mpe hela ya meal&accomodation
Kulipiwa ada elfu 70 sio kitu cha ajabu ndo maana kuna asilimia za mkopo
 
Habari Jf,kuna kitu nime sikia kwa baazi ya watu wangu wa karibu wakilia kuhusu izo allocation za mikopo,katika batch ya kwanza walio otoa wali toa na idadi ya watu watakao pata io mikopo lakini uki fika chuo jina huli kuti na uki uliza kwanini una ambiwa huna vigezo vya kupata,sasa hii ni danganya toto wanao ifanya bodi ya mikopo kwa kutoa idadi isio sahihi kwa wanufaika wa mikopo huku umma uki amini idadi iliyo tolewa ni ya kweli
Dogo mkopo haudaiwi kwa mapanga
 
kiongozi naona hujui ata kinachoendelea.

ni ivi:

jina limetoka batch ya kwanza lakini saivi unaambiwa baada ya kuhakiki tena wamegundua huna vigezo vya kupata mkopo.
so hakuna cha batch sijui ngapi wala ngapi hapo mkuu.
swali ni kwanini watoe majina bila kujiridhisha kama mtu ana vigezo????
kali ya mwaka hii
 
Ulichaguliwa multiple selection?
 
Ndani ya miaka kumi ijayo hii body ya mikopo itakuwa kama kijiwe cha kahawa tu,wazazi mnapokuwa mnawatafutia wanenu Ada watafutieni Hadi za chuo,taratibu taratibu ishu ya mikopo inakufa,mikopo ilikuwaga enzi hizo watu walijenga Hadi ma bangalow sio leo
 
Habari Jf,kuna kitu nime sikia kwa baazi ya watu wangu wa karibu wakilia kuhusu izo allocation za mikopo,katika batch ya kwanza walio otoa wali toa na idadi ya watu watakao pata io mikopo lakini uki fika chuo jina huli kuti na uki uliza kwanini una ambiwa huna vigezo vya kupata,sasa hii ni danganya toto wanao ifanya bodi ya mikopo kwa kutoa idadi isio sahihi kwa wanufaika wa mikopo huku umma uki amini idadi iliyo tolewa ni ya kweli

hakuna majina hewa kutoka bodi ya mkopo ila wewe ambae ulienda chuoni na hukukuta jina lako halipo jichunguze vizuri ulikubaliwa na vyuo vingapi na kipi kilikua cha kwanza kukuchukua? maana kuna watu awamu ya kwanza walichaguliwa chuo kimoja lakini wao waliomba kiubishi mara ya pili na wakakubaliwa chuo kingine tofauti na cha mwanzo . hivyo watu kama hawa mkopo wao hutumwa kwenye chuo cha kwanza lakini wao utakuta wamejiendea chuo cha awamu ya pili kwaajili ya kufuata course fulani ambacho mkopo wao haujatumwa huko. ILA MSIJALI CHAMSINGI NENDENI MAKAO MAKUU ILI WAWAHAMISHIENI MIKOPO YENU KWENYE VYUO HUSIKA MLIVYOPO.
 
kiongozi naona hujui ata kinachoendelea.

ni ivi:

jina limetoka batch ya kwanza lakini saivi unaambiwa baada ya kuhakiki tena wamegundua huna vigezo vya kupata mkopo.
so hakuna cha batch sijui ngapi wala ngapi hapo mkuu.
swali ni kwanini watoe majina bila kujiridhisha kama mtu ana vigezo????

Wapuuzi wana fanya kazi kwa kubahatisha
 
Back
Top Bottom