Bodi ya mikopo na ada ya wanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo na ada ya wanafunzi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Uparo, Jun 4, 2012.

 1. U

  Uparo Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Wanafunzi waliomaliza mwaka wa tatu ktk mwaka wa masomo 2010/11 ktk chuo kikuu cha dodoma na waliokuwa wanalipiwa ada na bodi ya mkopo hatimaye wamenyimwa vyeti vyao kwa maelezo kuwa wanadaiwa ada ambayo bodi ilitakiwa kuwalipia na hata hivyo wengi wa wanafunzi hao walikuwa wakisaini ada zilizokuwa zinatumwa na haieleweki tatizo nn hata hivyo wahasibu husika ktk kitivo cha lugha na sayansi jamii wanadai kuwa bodi hawakulipa hela.kesho naenda kwenye ofisi ndogo ya bodi huku dodoma then nitawajuza.source mm mwenyewe
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Hii ndio tz!
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Duh!asa hapo watoto wa wakulima itakuaje?
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ili ccm iendelee kutawala ni lazima iwanyime wanafunzi wengi mikopo ili waendelee kuwa wajinga.
   
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Huu sasa ni upuuuzi, yani mtu unasoma miaka mitatu, hawakwambii kwamba unadaiwa ada kiasi fulani ambacho bodi hawakukulipia, kisha wanasubiri unapokuja kuchukua cheti chako ndo wanakwambia madudu haya?

  Ina maana hicho chuo kilikuwa hakina wahasibu? nakama wapo, walipokuwa wanafunga hesabu za mwaka katika ada,hawakugundua mapema kuwa kuna upungufu wa ada wawaambie kabla hamjaondoka/maliza chuo?
   
 6. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Itabidi wahitimu walioko mikoani waliokuwa wanasoma UDOM wajiridhishe kwanza kama ada yao ililipwa kabla ya kusafiri kwenda Dodoma kuchukua vyeti vyao.
   
 7. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Makubwa
   
 8. s

  suli Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  katika vi2 ambavyo i can declare openly kabisa ni 'udom kuna tatizo la kiutawala' yule prof wa kiswahili ambaye ndo mkubwa wa utawala na fedha ni KIMEO. haiwezekan kabisa katka hali ya kawaida ukahamishia matatizo ya bodi ya mkopo kwa wanafunzi! huu ni ujinga? hii ni kama ugomvi wa baba na mama chumban unawarushia watoto ambao hawajui chochote ?
   
Loading...